Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Mdazi naona unacheka ukiona Arusha ikipewa sifa za kinafiki😁😁😁
Tufanywe Mwanza ndio kuzuri kushinda uzuri huu wa Arusha 👇

Screenshot_20220428-122732.png

arusha-tanzania-786x416.jpg

tz-building-arusha-one-citys-journey-to-better-urban-services-access-and-quality-of-life-735x490.jpg

road-highway-crossing-city-arusha-tanzania-some-buildings-both-sides-road-highway-crossing-cit...jpg

269894982.jpg

138450183465e3031b7418207dfd52c2.jpg
 
😆😆😆😆💉💉💉 Maskini washabiki wa Mwanza hawana cha kuonyesha 😂😂
😂😂 ila opportunity cost, naomba tuongee kirafiki tu kwanini huwa huipendi Mwanza na unachuki nayo sana, ata kama moyoni unajua Arusha ×3= mwanza, ata akitokea mtu ameanzisha uzi katia ya Mwanza na Ludewa utasema Ludewa zaidi, na hii inaonesha jinsi tulivyo wanafiki.
 
Picha za Mwanza ziko wapi? Mbona unaleta blaa blaa ?
 
Nenda kadownload kama unavyodownload picha za arusha na kuzileta hapa, Arusha yenyewe huijui ata mitaa huifahamu kutwa kuleta porojo za kinafiki, tena usisahau na ile picha ya vilima vya mabatini Mwanza.
 
Siwezi kumaliza bando zangu kwa mambo ya Mwanza.
 
jiwe angavu , zoogosh lolo nkoi 😁 siku chadema wanashika dola tafuta pakukimbilia, huyu ni mchagga kama sikosei,,,wewe ni msukuma inakuaje unakipigia debe chadema!!! Huoni hawa watu wako kimasilahi zaidi, hivi siku wanashika nchi utaonyesha wapi sura yako!!!! jiandae kutafuta pakukimbilia mzehe,,, Japo ngumu kupita maana watanzania inawajua vizuri hawa majirani zetu,,ingawa co wote wenye nia mbaya.

Tangu nijiunge jf sijaona mchagga akisifia kanda ya ziwa n.k, zaidi kanda yao.
Jamii forum kuna sehemu unaweza kutambua kabila la mtu chief????
Mbona comment yako imejaa sana chuki na ukabila????
Hujui kuwa Arusha kuna wasukuma, wahaya na wanyamwezi kibao tu
Lazima ujue kutofautisha kati ya kabila na mji na kama hujui Arusha wakazi wa asili ni wameru na wamasai na wala sio wachagga boss....punguza makasiriko mkuu hii nchi ni ya kwetu sote♥️💜
 
jiwe angavu , zoogosh lolo nkoi 😁 siku chadema wanashika dola tafuta pakukimbilia, huyu ni mchagga kama sikosei,,,wewe ni msukuma inakuaje unakipigia debe chadema!!! Huoni hawa watu wako kimasilahi zaidi, hivi siku wanashika nchi utaonyesha wapi sura yako!!!! jiandae kutafuta pakukimbilia mzehe,,, Japo ngumu kupita maana watanzania inawajua vizuri hawa majirani zetu,,ingawa co wote wenye nia mbaya.

Tangu nijiunge jf sijaona mchagga akisifia kanda ya ziwa n.k, zaidi kanda yao.
Umekwenda mbali sana mkuu, kwetu ni Ngara sio usukumani ingawa njia ni ile ile moja. Nimeisifu Arusha kwa uzuri wake na sio kwa masuala ya CHADEMA wala CUF wala CCM.

Ni mji mzuri, wenye utulivu fulani usioweza kuupata katika mkoa mwingine wowote ule wa Tanzania hii.
 
Back
Top Bottom