- Thread starter
- #321
Angalia tbc royal tour braza uone ukumbi ambao Kanda yote za ziwa haupo😂😂Mdazi naona unacheka ukiona Arusha ikipewa sifa za kinafiki😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia tbc royal tour braza uone ukumbi ambao Kanda yote za ziwa haupo😂😂Mdazi naona unacheka ukiona Arusha ikipewa sifa za kinafiki😁😁😁
Tufanywe Mwanza ndio kuzuri kushinda uzuri huu wa Arusha 👇Mdazi naona unacheka ukiona Arusha ikipewa sifa za kinafiki😁😁😁
Sawa sukuma gang, kama vile Ibilisi alivyozaliwa na kuzikwa Chattoh GeitaBila kusahau sifa ya majambazi hatari yametokea huko!
Usibishane na hao wauaji wa albino brazaSawa sukuma gang, kama vile Ibilisi alivyozaliwa na kuzikwa Chattoh Geita
Naona mother anavizia kura zenu.Angalia tbc royal tour braza uone ukumbi ambao Kanda yote za ziwa haupo😂😂
😂😂Naona mother anavizia kura zenu.
Tutolee mapori hapa.Tufanywe Mwanza ndio kuzuri kushinda uzuri huu wa Arusha 👇
View attachment 2203832
View attachment 2203836
View attachment 2203837
View attachment 2203838
View attachment 2203839
View attachment 2203840
😆😆😆😆💉💉💉 Maskini washabiki wa Mwanza hawana cha kuonyesha 😂😂Tutolee mapori hapa.
😂😂 ila opportunity cost, naomba tuongee kirafiki tu kwanini huwa huipendi Mwanza na unachuki nayo sana, ata kama moyoni unajua Arusha ×3= mwanza, ata akitokea mtu ameanzisha uzi katia ya Mwanza na Ludewa utasema Ludewa zaidi, na hii inaonesha jinsi tulivyo wanafiki.😆😆😆😆💉💉💉 Maskini washabiki wa Mwanza hawana cha kuonyesha 😂😂
Picha za Mwanza ziko wapi? Mbona unaleta blaa blaa ?😂😂 ila opportunity cost, naomba tuongee kirafiki tu kwanini huwa huipendi Mwanza na unachuki nayo sana, ata kama moyoni unajua Arusha ×3= mwanza, ata akitokea mtu ameanzisha uzi katia ya Mwanza na Ludewa utasema Ludewa zaidi, na hii inaonesha jinsi tulivyo wanafiki.
Nenda kadownload kama unavyodownload picha za arusha na kuzileta hapa, Arusha yenyewe huijui ata mitaa huifahamu kutwa kuleta porojo za kinafiki, tena usisahau na ile picha ya vilima vya mabatini Mwanza.Picha za Mwanza ziko wapi? Mbona unaleta blaa blaa ?
Siwezi kumaliza bando zangu kwa mambo ya Mwanza.Nenda kadownload kama unavyodownload picha za arusha na kuzileta hapa, Arusha yenyewe huijui ata mitaa huifahamu kutwa kuleta porojo za kinafiki, tena usisahau na ile picha ya vilima vya mabatini Mwanza.
Ulitaka nimalize bando na nguvu yangu kuleta picha za Mwanza kulinganishi na kijiji cha Arusha kilichozungukwa na mapori.Siwezi kumaliza bando zangu kwa mambo ya Mwanza.
Mawe na ziwa😆😆😆😆💉💉💉 Maskini washabiki wa Mwanza hawana cha kuonyesha 😂😂
🤣🤣Mawe na ziwa
Jamii forum kuna sehemu unaweza kutambua kabila la mtu chief????jiwe angavu , zoogosh lolo nkoi 😁 siku chadema wanashika dola tafuta pakukimbilia, huyu ni mchagga kama sikosei,,,wewe ni msukuma inakuaje unakipigia debe chadema!!! Huoni hawa watu wako kimasilahi zaidi, hivi siku wanashika nchi utaonyesha wapi sura yako!!!! jiandae kutafuta pakukimbilia mzehe,,, Japo ngumu kupita maana watanzania inawajua vizuri hawa majirani zetu,,ingawa co wote wenye nia mbaya.
Tangu nijiunge jf sijaona mchagga akisifia kanda ya ziwa n.k, zaidi kanda yao.
Safi sanaSijutii mjengo wangu wa kwanza kuuotesha Arusha. Arusha nitapaishi Inshallah
Umekwenda mbali sana mkuu, kwetu ni Ngara sio usukumani ingawa njia ni ile ile moja. Nimeisifu Arusha kwa uzuri wake na sio kwa masuala ya CHADEMA wala CUF wala CCM.jiwe angavu , zoogosh lolo nkoi 😁 siku chadema wanashika dola tafuta pakukimbilia, huyu ni mchagga kama sikosei,,,wewe ni msukuma inakuaje unakipigia debe chadema!!! Huoni hawa watu wako kimasilahi zaidi, hivi siku wanashika nchi utaonyesha wapi sura yako!!!! jiandae kutafuta pakukimbilia mzehe,,, Japo ngumu kupita maana watanzania inawajua vizuri hawa majirani zetu,,ingawa co wote wenye nia mbaya.
Tangu nijiunge jf sijaona mchagga akisifia kanda ya ziwa n.k, zaidi kanda yao.