Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Hii ni hoteli ya serikali sio? 🤣🤣

 
Mnaliwezaje lile vumbi ile mitaanya ungalimi, uswahilini, ngusero, moromboo, olasiti na ukanda wote kusini maghalib,
 
Mbona wachaga mnakimbilia mwanza kijijini mnashindwa kubaki mjini?
kila mwaka Mwanza inaoongoza kwa miji inayokua kwa kasi afrika.
Kwaiyo unavoona wachina na wazungu wako Afrika ni kwamba sisi tumewazidi???
wanakuja kutunyonya amka wewe🤣🤣
wachaga wapemba wakinga wote asili yao kutafuta
tena washkuruni wamekuja kuwachangamshia mji wenu huo
Bongo lalaz😎
 
Hujasema ukweli,hakuna barabara hata moja Makao Mapya,Kaloleni au Ngarenaro ambayo haina lami nilipita tarehe 01/12/2021 nikashangaa kulivyopendeza na baada ya wamachinga kuondolewa mabarabarani Arusha imependeza sana lazima ninunue kiwanja kule Safari City
 
Mbona wachaga mnakimbilia mwanza kijijini mnashindwa kubaki mjini?
kila mwaka Mwanza inaoongoza kwa miji inayokua kwa kasi afrika.
Weka facts za kuongoza kila mwaka hapa.

Pili sio kila mtu ni mchanga,mimi sio mchaga ila napenda Arusha kuliko Mji wowote hapa Tzn.

Kuja huko lake zone ni kwa ajili ya kuvunja si unajua mnazaa Sana kwa hiyo nyie ni soko zuri tukija ni kuchungulia fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…