Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji.
Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, lakini licha ya upya wake.
Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za Private kwa uwiano wa watu kuliko mji wowote Tanzania.
Ndio wilaya inayoongoza kwa Ufaulu kwa matokeo ya shule za msingi na sekondari kwa miaka minne mfululizo.
Arusha pia ina hoteli 5 zenye hadhi ya kimataifa.
Arusha inahudumiwa na viwanja viwili vya ndege.
Arusha ndio mji wa pili kwa kuwa na largest foreign community nje ya Dar same as real estate licha ya kuwa na moderate population.
Bila kusahau leisure facilities, shopping centers, office za kimataifa na hali ya hewa ya kustaajabisha inayoufanya mji huu kupokea asilimia 80 ya wageni wote wanaotembelea nchi yetu.
Je, ni sahihi kusema Arusha ndio sehemu bora zaidi ya kuishi Tanzania.
View attachment 2038839
View attachment 2038840
View attachment 2038841
View attachment 2038842
View attachment 2038843
.
View attachment 2039251