TANZIA Said Akachube (Akachube Road) ambaye ni muuza magari maarufu DSM afariki dunia

Labda nikusaidie takwimu.
Je hizo njia za kujikinga na Corona zimesaidia nini?.
Ikiwa takwimu inazidi kupanda kila siku?
 

1-Mask kama chandarua unaweza kulala lakini ukapata malaria nje ya chandarua ila inasaidia kujilinda.
2- Hakuna

Kama mtu unaogopa kuonekana kituko kwa kutunza afya yake basi kifo ni haki yake
Leo Rais Dodoma anasema tumieni dawa ya asili inafanya kazi kwa asilimia 99% ya corona, tusiamini kila dawa inayotoka nje kwa maana nyingine Corona ipo kama kukiri juzi tu walisema hakuna corona kwetu. Sasa hii dawa inawezekana kweli sina ushahidi wa kukana ila tafiti zilifanywa kwa watu wangapi? data zikuwapi na wakati tulikuwa hatuna wagonjwa wa corona kwa mujibu wa serikali. Hawa wagonjwa katika mahospital je wanaweza kuthibitisha ndio dawa wanayopewa na ma Dr. Serikali ituweke wazi katika hili. Juzi wanasema vipi cjanjo haraka hivyo sasa sisi mbona dawa haraka sana tu.
 
Sawa....
Vp ile ya madagascar tulipigwa au

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Alichosema rais
 
INATAKIWA UJIONGEZE MWENYEWE.
corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine.ACHA HOFU
 
INATAKIWA UJIONGEZE MWENYEWE.
corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine.ACHA HOFU
Kama kawaida binadamu kama halijampata. Kila mtu anaogopa kifo japo kuwa tunajuwa ni lazima utakufa tu. Hakuna shujaa katika kuumwa ugonjwa wowote lazima uchukuwe tahadhari na wala hakuna aliyesema ugonjwa huu wa maajabu ni kama kipindupindu hakuna mtu anadharau na ukidharau unakubeba tu. Corona kama magonjwa mengine tatizo lake hatujui tunagombana na nini wala adui hatumuoni. Hawa wengine sijui malaria, kipindupindu tunajuwa na tunamuona adui huyu bwana mkubwa Corona hatumuoni kimya kimya.
 
Labda nikusaidie takwimu.
Je hizo njia za kujikinga na Corona zimesaidia nini?.
Ikiwa takwimu inazidi kupanda kila siku?View attachment 1694103

Ndiyo maana nakueleza ujisomee kabla ya kutoa chochote. Kwa tunachokizungumzia, ulitakiwa uwe na group la watu ambao wanatumia intervention/kinga dhidi ya wale wasiotumia then remove the biases.
Hapo ndoo utazugumza una data/ takwimu. Hii ni orodha tu isiyokupa chochote kwa tunalolizungumzia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…