Alikuwa makamu wa balozi... anyways, balozi zote zimejaa nyoka!
Mtu alikuwa DCI kwa miaka kadhaa bado unasema hakuwa na uzoefu?
mtu alikuwa RPC, RAS na kote huko akiwa Kipenyo Senior ambae hata IGP hakuwa anamjua bado unasema hakuwa senior?
Othman Rashid alitokea Ubalozi, Kapilimba akatokea Mamlaka ya Vitambulisho ndio walikuwa zaid yake?
Mda mchache Mambo mengi SSH KWa sasa ni dr !! Kwani akibaki alivyo bila dr ,anapungukiwa nini? Watz mtafika mbinguni mmechoka sanaDiwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.
Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Huyo Kipilimba uliyemtaja na mwenzake huyu Bwana Diwani Msuya, ndio wanaingia record ya kuwa Wakurugenzi waliokaa muda mfupi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.
Nadhani point ni kuwa hata kama mtu ni wa idarani, kama amekuwa akifanya kazi nje ya idara muda mrefu, inakuwa ngumu kufanikiwa. Samia kateua insider
Huwa nafurahi sana kuona michango yako hapa jukwaani ndugu Pohamba .Mtu alikuwa DCI kwa miaka kadhaa bado unasema hakuwa na uzoefu?
mtu alikuwa RPC, RAS na kote huko akiwa Kipenyo Senior ambae hata IGP hakuwa anamjua bado unasema hakuwa senior?
Othman Rashid alitokea Ubalozi, Kapilimba akatokea Mamlaka ya Vitambulisho ndio walikuwa zaid yake?
Alitoka PT akaenda PCCB akakaa siku 360•25 akatolewa kwenda huko alipotolewq sasaDiwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.
Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Alikuwa makamu wa balozi... anyways, balozi zote zimejaa nyoka!
Ndugu Elli ,nimeshangaa sana kiona hii ID ya jingalao ikiwa hewani baada ya kitambo kikubwa cha ukimya.Umefufuka!!
Nakazia, asomaye na afahamu.Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.
Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Wana mapungufu yao, lakini mchango wao kwenye usalama na utulivu wa nchi usiubeze. Unadhani DRC hawana intelligence services? Mbona kila wanachezewa na vinchi vidogo? Wakifaulu huwezi kuona kama wanafanya kazi, wakifeli ndio unajua hawapo.Hao nyoka wamesaidia nini wakati nchi inazidi kuzama kwenye dimbwi la umasikini.
Nyerere aliacha mfumo wa hovyo sana wa uongozi.
Hapana, cha msingi nchi Uwe salama. Kuwa mzanzibar shida ni nini?Kwani ni kosa' akitoka Zanzibar!?
Ni Boss Mpya wa TISSMasoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?
Mwenye CV yake tunaiomba!
Zile nchi zimeendelea sana, actually hayo mashirika makubwa kama CIA na FBI watendaji wakuu ni Deputy na Assistant Directors. Huku bado sidhani kama tumefika huko, kwanza deputy ukipiga kazi sana utaonekana unataka kazi ya bosi 🤣🤣🤣Mkurugenzi mkuu huwa ni nafasi ya utawala, mtu yeyote mwenye maarifa na busara za Utawala anaweza kuwa katika hiyo nafasi.
Mkuu wa CIA wa Marekani alikuwa ni balozi.
Hata Richard Moore, Director wa MI6 pale UK alikuwa Balozi wa UturukiMkurugenzi mkuu huwa ni nafasi ya utawala, mtu yeyote mwenye maarifa na busara za Utawala anaweza kuwa katika hiyo nafasi.
Mkuu wa CIA wa Marekani alikuwa ni balozi.
Muulize Waziri Mkuu wa UK aliyekaa chini ya miezi miwili atasema. Term ya DGIS ni miaka 5, ukitolewa mapema unapwaya! Sio sifa nzuriTofauti ya mtu aliyeishi miaka 100 na mwingine 60 baada ya miaka 101 ni nini?? Afrika tuna shida sana
Kwa nini CIA walimuua Kennedy?
Kwa nini pia unaamini CIA ndio waliomuua Kennedy? Upo huo ushahidi?