Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Diwani Athumani amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa

Rais ni kila kitu kwa Afrika tu, nchi kama Marekani inaongozwa na Institutions, Rais hata awe wa chama gani anakuwa guided upon.

Hiyo congress unayosema wanapewa taarifa ni zile ambazo Secret Service husika imeamua kuwapa.

Agency kama CIA kwa mfano, ni kama nchi ndani ya nchi, wanajiendesha wenyewe na wanajiamulia wenyewe, wanampa taarifa Rais ambazo wameamua wenyewe kumpa, hawaongozwi na Rais, hawaripoti kwa Rais.

Kumlinda Rais ndiyo wanamlinda, ila wakiona analeta ujinga wanakula kichwa.
 
Kwa kuongezea tu, ulishawahi kusikia TISS wameamriwa kujieleza bungeni kuhusu oparesheni zao? Haijawahi kutokea kwa sababu wako chini ya ofisi ya raisi, mostly wanafanya kazi kwa maelekezo au go ahead ya raisi, hivyo kuwahoji ni kama kumhoji raisi.

Kwa nchi kama Marekani ni wanajieleza mara nyingi tu kwa sbbu operesheni zao ni zao wenyewe, siyo lazima ziwe na baraka kutoka kwa raisi.
 
Hata mimi huwa najiuliza Kila mwaka CAG anasema tumeibiwa kwenye Madini, utalii, fedha za umma, ardhi na resources nyingi. Hawa watu tunaambiwa wako kila mahali kwani kazi zao ni nini hasa?
Kazi zao sio kuchukua hatua, wao ni kusema nini kimetokea au kinaenda kutokea chenye hatari, wanapeleka taarifa kwa wanasiasa, ndio watajua nini cha kufanya.
 
Wewe kwa nini umeamua kuchagua hii conspiracy kati ya nyingi kuhusu kuuwawa kwa Kennedy?
 
Chuki zako tu. Chini uongozi wake mbona umeona nchi imetulia tu na inasonga? Na ujue kwamba hapo Diwani kaendelea kulamba dume. Kwa maana kapanda chati.
 
Idara ya usalama wa taifa ya marekani nayo inaitwa TISS [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Hatimae umefufuka upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…