Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Sisi ngozi nyeusi shids sana ukipata senti kidogo utataka mpaka sisimizi waju! Wenzetu wahindi wao wakipata wanawekeza kwenye vitu vya maana sisi unakimbilia vitu vya anasa ambavyo havizalishi ! maskini Lugumii !
Siyo kweli hakuna watu wanapenda show off kama wahindi.
Angalia harusi ya mtoto wa mukesh ambani ili ndo tabia ya wahindi. Angali jengo lake analoishi ni heaven on slum
 
Hivi mtu/kampuni akipata tenda,hua ana lipwa kiasi chote Cha fedha kabla haja tekeleza yaliyo katika mkataba?
Alipewa fedha ya ku supply hizo electronic devices za TANPOL lakini kuna hela ilibidi awarudishie wenyewe waliompa zabuni ili waingize kampeni.

Huyu aliingia kwenye system kupitia IGP Said Mwema kwa kuwa alioa binti wa Said Mwema.
 
TAfuta pesa mkuu ili watu wakiwa wanafurahia pesa zao kwa matoys kama hayo usione kama ni ulimbukeni au wanakuringishia, uone tu ni kama ambavyo wewe unavyopost tu ukiwa na ka samsung kako mezani ukisoma gazeti.
Acha kushabikia wezi kwa kauli ya kutafuta pesa wakati shobo zote hizo ni hela za kodi yako wewe. Na watu wanakosa dawa hospitalini na watoto wanakaa chini kumbe kuna mafedhuli wametumia mali ya umma kujitajirisha
 
Jamaa alikuwa Mwanza miaka ya zamani alikuwa fundi viatu pale town.
 
TAfuta pesa mkuu ili watu wakiwa wanafurahia pesa zao kwa matoys kama hayo usione kama ni ulimbukeni au wanakuringishia, uone tu ni kama ambavyo wewe unavyopost tu ukiwa na ka samsung kako mezani ukisoma gazeti.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa.....
 
Utajiri wa magumashi kivip tena
Anatumiwa kutakatisha pesa haramu za kodi za a Watanzania kwa kupewa tenda feki Serikalini. Lugumi ana mtandao mrefu sana Serikalini. Alidhibitiwa vilivyo enzi za Magu, lakini naona baada ya kifo cha Magu its business as usual. . Huko Insta ana smile tu kila posting na kuandika ridiculous inspirational statements huku akiweka picha akiwa kwenye exclusive, ultra luxurious environments. Lakini ukweli ni kwamba anatumiwa tu kama front na vigogo wa hii nchi.
 
Shida iko wapi sasa take money for fun mfumo wenyewe wa pesa umekaa kihuni huni tuu 🍻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…