Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

Kaka umeeleweka.. Hata CCM wenyewe ndani kwa ndani hawamtaki.. Na inatafutwa namna ya kumuweka kando.. Tatizo lipo kwa Rimoti na yule Baniani wa Nkinga..
Rimoti na Baniani wa nkinga wana nguvu kuliko kila kitu katika Inji hii ??!!
Sitaki kuamini hivyo! Ila Mama anaweza akaendelea kutawala kwa sababu wakubwa wa Dunia wanamuona anafaa !!
 
Hilo swala la bandari sioni hata watu wakilizungumzia mtaani kelele naona zipo JF tu.

Mkuu, inategemea unaishi na kutembelea mitaa ipi.

Lakini hata watu wasipoliongelea mitaani usidhani kwamba hawalijui au kuwa haliwaumizi.

Wiki iliyopita, mama Sam alipotembelea hifadhi ya Ar,
mpaka watoto wa shule za msingi walikuwa wananong’ona mama anainyatia hiyo hifadhi aipige bei.

Usiwa underate watanzania aisee.
 
Huwajui Watanzania wanaopiga kura.

Hao wanaokuja kwenye mikutano si wapiga kura,wapiga kura hawajui swala la bandari, wao wapo kupiga kura tu
 
Kwa wapiga kura hawa wa bongo na kwa katiba hii!?

Sana sana Mama atacama ushauri wa JK kuwapa wapinzani viti kadhaa bungeni tofauti na Mwendazake aliyekusudia kuua kabisa upinzani akafa yeye
huyo mama akiiba kura lazima afe atake asitake atakufa.
 
Si-underate watanzania nilikua natoa dokezo kuwakumbusha jamii tuliyo nayo ni watu wa "DON'T CARE"
 
Kuipa kura ccm 2025 ndio UHAINI haswaa
CCM imekuwa inakumbatia wizi, ufisadi, uporaji, umyanyasa na uhuni!
Kukipa ccm kura labda uwe uzao wa shetani!
 
Si-underate watanzania nilikua natoa dokezo kuwakumbusha jamii tuliyo nayo ni watu wa "DON'T CARE"

Ni kweli.

Wengi wetu bado wamelala.
Na hata wachache walioamka bado hawajaamka vya kutosha.

Kutokujali ni kutokujua.
 
Mama nadhani kuna mtu anamdanganya.
Hata kura za vijijini safari hapati.
Ishu ya bandari haza vikongwe wanaifahamu.
Upinzani wakitumia vizuri kashfa hii NYOKA LA KIJANI litanyonyoka magamba
 
Ndiyo maana nasema hawezi kukubali tume huru na katiba mpya maana anajua kabisa kwa hhili la bandari anaondoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…