mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Ameeleza anayoyaamini !Kwahiyo wauza bandari ndio bora kwako. We utakuwa ni CCM tu ila unaona aibu kukiri hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameeleza anayoyaamini !Kwahiyo wauza bandari ndio bora kwako. We utakuwa ni CCM tu ila unaona aibu kukiri hivyo.
Rimoti na Baniani wa nkinga wana nguvu kuliko kila kitu katika Inji hii ??!!Kaka umeeleweka.. Hata CCM wenyewe ndani kwa ndani hawamtaki.. Na inatafutwa namna ya kumuweka kando.. Tatizo lipo kwa Rimoti na yule Baniani wa Nkinga..
Never. Tume siyo huruIshu ya ngorongoro na bandari wapinzani wakitembea nayo vizur ccm chali.
Hilo swala la bandari sioni hata watu wakilizungumzia mtaani kelele naona zipo JF tu.
wewe ndiye uliyekariri.Usikariri 😄😄
huyo mama akiiba kura lazima afe atake asitake atakufa.Kwa wapiga kura hawa wa bongo na kwa katiba hii!?
Sana sana Mama atacama ushauri wa JK kuwapa wapinzani viti kadhaa bungeni tofauti na Mwendazake aliyekusudia kuua kabisa upinzani akafa yeye
unajipa moyo tu.Hilo swala la bandari sioni hata watu wakilizungumzia mtaani kelele naona zipo JF tu.
makuwadi ya warabu na wapambe wao tunayasubir 2025.Huwajui Watanzania wanaopiga kura.
Hao wanaokuja kwenye mikutano si wapiga kura,wapiga kura hawajui swala la bandari, wao wapo kupiga kura tu
makuwadi ya warabu baada ya 2025 mtakimbilia kwa mabwana zenu dubai maana mkibaki tanganyika tutawafanya kama samwel Doe wa liberia wajinga nyinyi.Wanatishia nyau wajinga hawa
Si-underate watanzania nilikua natoa dokezo kuwakumbusha jamii tuliyo nayo ni watu wa "DON'T CARE"Mkuu, inategemea unaishi na kutembelea mitaa ipi.
Lakini hata watu wasipoliongelea mitaani usidhani kwamba hawalijui au kuwa haliwaumizi.
Wiki iliyopita, mama Sam alipotembelea hifadhi ya Ar,
mpaka watoto wa shule za msingi walikuwa wananong’ona mama anainyatia hiyo hifadhi aipige bei.
Usiwa underate watanzania aisee.
Si-underate watanzania nilikua natoa dokezo kuwakumbusha jamii tuliyo nayo ni watu wa "DON'T CARE"
Mama nadhani kuna mtu anamdanganya.Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kashifa hizi, mithili ya dhoruba kali baharini, zimekuja kuzamisha mtumbwi ambao teyari ulikuwa umetoboka na sasa unajaa maji(unazama).
Mama alikuwa teyari hakubaliki sana, na badala ya kufanya mambo ambayo yangemsaidia kukubalika, amefanya kinyume chake kupata hizi kashifa zinazoendelea kuibuliwa na wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na watu wa makundi mengine katika jamiii mfano viongozi wa dini.
Ukiacha hayo, wafuasi wa Mwendazake ndani ya chama chake nao ni tatizo kwake. Hivyo, baadhi ya kura za wana-CCM, Mama atakwenda kugawan na wapinzani jambo litalokwenda kumuweka katika hali mbaya zaidi.
Sio Samia tu kama mgombea uraisi atakaeathirika(naamini atagombea), bali hata wagombea ubunge wa CCM nao wataathirika kwa kuridhia ule mkataba mbovu wa bandari.
Kama ambayo kashifa za wizi na ufisadi wakati wa Kikwete zilivyoigharimu CCM kwenye chaguzi za 2010 na 2015, ndivyo ambavyo kashifa hizi zinazoendelea zitakwenda kuigharimu vibaya zaidi CCM katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025.
Hali ikiendelea hivi, itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kupata asilimia 30 ya kura zote na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 kote bara na visiwani.
Najua hatuna tume huru ya uchaguzi na wala CCM hawatakubali tuwe na tume huru, lakini huo ndio utakuwa uhalisia katika uchaguzi ujao(makaratasi yatawapa uhalisia hata kama watatangaza tofauti).
Walioko hatarini zaidi ni wagombe ubunge ambao sometimes huwa ni vigumu kupindua matokeo labda kama Mama afanya kama alivyofanya Mwendake kuwa ni lazima watangazwe washindi ingawa hii inahitaji roho ngumu na elements za ukatili mambo ambayo Mama yanaweza kumshinda.
Time will tell.
Labda huko kwenu mkuu, hapa mtaani kwangu mambo ni moto, asie jua suala la bandari ni wachache sana.Hilo swala la bandari sioni hata watu wakilizungumzia mtaani kelele naona zipo JF tu.
Ndiyo maana nasema hawezi kukubali tume huru na katiba mpya maana anajua kabisa kwa hhili la bandari anaondoka!Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.