Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

Kuna tatizo moja Chadema naliona mnalo kwa sasa-KATIBU MKUU WA CHAMA.

kilichoipa nguvu chadema 2015, ni kazi kubwa waliyoifanya 2010 hadi 2015. Hawakulala, mikutano mfululizo, operations zenye nguvu, hamasa kubwa.

Kwa sasa fursa ya Kufanya siasa ipo, lakini amsha haipo. Nadhani mnahitaji katibu mkuu ambaye ni mwanaharakati haswa. Mnyika hafai, mtaratibu sana. Apewe hata Heche hiyo nafasi.
Unatakiwa upendekeze km wa ccm, wa Chadema tuachie sisi.
 
Fanya simple research huko mtaani uone namna hii kashifa ya bandari inavyomgharimu Mama.

Sasa hivi hata wale ambao mwanzoni walikuwa wanaona huu mkataba sio tatizo, wengi wao sasa hivi wamebadilka na wanakiri huu mkataba sio kabisa.

Binafsi kuna staff mwenzangu mwanzoni alikuwa upende wa wale waliokuwa wanaunga mkono huu mkataba, ila juzi alikuwa anaongea tofauti kabisa na ni baada ya kuendelea kusikua na kuona yanayoendelea kuhusu hii kashifa.

Mbinu zitatumika[emoji12][emoji3166]
 
Nyie ni portion/sample ndogo ya literate people katika jamii yenye mchanganyiko wa watu wa haiba tofauti tofauti ambao nyie mnaoweza kupembua mambo kwa kina.

👉Wengi wenu hata kura hampigi. Watu ninowazungumzia ni watu wa kawaida ambao wengine hawana vyama wanavyoshabikia wao wakiamka asubuhi wanawaza familia itakula nini watu ambao hata mitandaoni hawaingii na hawa ndio wapiga kura hawa hawazungumzii suala la bandari kabisa labda sasa hivi TEC walivyotia hekima.
Popo ni mnyama au ndege?
 
Ujinga mwingine huo.....

Pamoja na kashfa za:-

-EPA

-KAGODA

-DEEP GREEN

-MEREMETA

-TANGOLD

-ESCROW

Bado CCM haijawahi "kupigika" kupata kura chini ya 50%.....

#Kidumu CCM[emoji120]

#Mama Kaja[emoji120]

#Mwenyezi Mungu utulindie Samia wetu aaaamin aaaamin [emoji120]
 
Shida sio ubovu wa CCM, Shida ni kuwa hatuna wapinzani wa kuwapa nchi, wananchi bado hawaamini CHADEMA, chadema hawana misingi imara kwenye matawi kusema watabeba majimbo mengi na kushinda nchi,
Naiona CCM ikishinda tena, sema kwa asilimia chache
 
Hapo ingewekwa Tume huru,na katiba mpya,halafu mtanange uanze,itaonyesha dhahiri kama wananchi hawana imani na wapinzani au laa!
Bilashaka hata wewe ukipendekeza waziwazi kwenye vikao vya ngazi ya juu kabisa,kuhusu hayo mambo mawili niliyoandika hapo juu,utaona akina Nape,Makamba na wengineo watakavyokujia juu.
 
Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.

Kashifa hizi, mithili ya dhoruba kali, zimekuja kuzamisha mtumbwi ambao teyari ulikuwa umetoboka na sasa unajaa maji(unazama).

Mama alikuwa teyari hakubaliki sana, na badala ya kufanya mambo ambayo yangemsaidia kukubalika, amefanya kinyume chake kupata hizi kashifa zinazoendelea kuibuliwa na wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na watu wa makundi mengine katika jamiii mfano viongozi wa dini.

Ukiacha hayo, wafuasi wa Mwendazake ndani ya chama chake nao ni tatizo kwake. Hivyo, baadhi ya kura za wana-CCM, Mama atakwenda kugawan na wapinzani jambo litalokwenda kumuweka katika hali mbaya zaidi.

Sio Samia tu kama mgombea uraisi atakaeathirika(naamini atagombea), bali hata wagombea ubunge wa CCM nao wataathirika kwa kuridhia ule mkataba mbovu wa bandari.

Kama ambayo kashifa za wizi na ufisadi wakati wa Kikwete zilivyoigharimu CCM kwenye chaguzi za 2010 na 2015, ndivyo ambavyo kashifa hizi zinazoendelea zitakwenda kuigharimu vibaya zaidi CCM katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025.

Hali ikiendelea hivi, itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kupata asilimia 30 ya kura zote na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 kote bara na visiwani.

Najua hatuna tume huru ya uchaguzi na wala CCM hawatakubali tuwe na tume huru, lakini huo ndio utakuwa uhalisia katika uchaguzi ujao(makaratasi yatawapa uhalisia hata kama watatangaza tofauti).

Walioko hatarini zaidi ni wagombe ubunge ambao sometimes huwa ni vigumu kupindua matokeo labda kama Mama afanya kama alivyofanya Mwendake kuwa ni lazima watangazwe washindi ingawa hii inahitaji roho ngumu na elements za ukatili mambo ambayo Mama yanaweza kumshinda.

Time will tell.
una ndoto za Ali Nacha.

In Shaa Allah, mama Samia anapiga zaidi ya 90%.
 
2025 is for CDM to loose.

Binafsi nimeongea na watu kadhaa wasio fuatilia siasa (wa dini zote) na kuwaelesha upotoshwaji unaofanywa na wanapinga bandari na kuwapa uelewa sahihi.

Pamoja na kuunga mkono huo uwekezaji baada ya kupata elimu; waislamu kumuonea huruma kwa mambo ya udini.

Lakini hitimisho la wote hao hawataki kumsikia huyo mama kabisa come 2025 ata ukitetea bandari wana issue za maisha yao na wote wanamkumbuka sana Magufuli (wengi ni wapambanaji wadogo wadogo na ndio watanzania wengi).

Shida ya CDM ni quality ya viongozi wao sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaeweza mpigia Mbowe kura ya uraisi.
 
Kwahiyo wauza bandari ndio bora kwako. We utakuwa ni CCM tu ila unaona aibu kukiri hivyo.
 
Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.

Kashifa hizi, mithili ya dhoruba kali, zimekuja kuzamisha mtumbwi ambao teyari ulikuwa umetoboka na sasa unajaa maji(unazama).

Mama alikuwa teyari hakubaliki sana, na badala ya kufanya mambo ambayo yangemsaidia kukubalika, amefanya kinyume chake kupata hizi kashifa zinazoendelea kuibuliwa na wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na watu wa makundi mengine katika jamiii mfano viongozi wa dini.

Ukiacha hayo, wafuasi wa Mwendazake ndani ya chama chake nao ni tatizo kwake. Hivyo, baadhi ya kura za wana-CCM, Mama atakwenda kugawan na wapinzani jambo litalokwenda kumuweka katika hali mbaya zaidi.

Sio Samia tu kama mgombea uraisi atakaeathirika(naamini atagombea), bali hata wagombea ubunge wa CCM nao wataathirika kwa kuridhia ule mkataba mbovu wa bandari.

Kama ambayo kashifa za wizi na ufisadi wakati wa Kikwete zilivyoigharimu CCM kwenye chaguzi za 2010 na 2015, ndivyo ambavyo kashifa hizi zinazoendelea zitakwenda kuigharimu vibaya zaidi CCM katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025.

Hali ikiendelea hivi, itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kupata asilimia 30 ya kura zote na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 kote bara na visiwani.

Najua hatuna tume huru ya uchaguzi na wala CCM hawatakubali tuwe na tume huru, lakini huo ndio utakuwa uhalisia katika uchaguzi ujao(makaratasi yatawapa uhalisia hata kama watatangaza tofauti).

Walioko hatarini zaidi ni wagombe ubunge ambao sometimes huwa ni vigumu kupindua matokeo labda kama Mama afanya kama alivyofanya Mwendake kuwa ni lazima watangazwe washindi ingawa hii inahitaji roho ngumu na elements za ukatili mambo ambayo Mama yanaweza kumshinda.

Time will tell.
Ccm haipo tangu zamani ,sema watz akili zilikua hazijatukaa sawa na kuwa wamoja sasa, nauna mwelekeo
 
Back
Top Bottom