Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

Una hekima kumzidi Kasim Majaliwa na Mzee WA Msoga
 
natamani tupigane vita kiukweli tumeishachoka sasa ili watakaotangulia tutangulie na watakaobaki wabaki ili waanze upya!
Hii nchi sasa inatia hasira mno hivi unajua kodi ni kubwa kiasi gani watu tunakatwa plus mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini?
 
Huu ni utabiri? Au ni kwa mujibu wa taarifa fiche?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…