Sakata la Escrow: AG Werema amvaa Kafulila, Amwita tumbili asiyeweza amua mambo ya msituni

Kwa kitendo hiki Werema amepoteza sifa ya kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Amepoteza hata sifa ya kuwa Baba wa Familia, amepoteza hata sifa ya kuitwa Binadamu.
Amepoteza hata sifa ya kuishi.. Damn fool..........!
 

Umekosea. Ujinga wa hao si sifa wala utambulisho wa Musoma au Mara. Mbona kunawasitaarabu kibao tu toka huku. Mfano mimi Mwenyewe. MWL Nyerere. VICENT nyerere. KANGI LUGORA. NA WEEENGI
 

Tiba Pekee ni Kuandaa Pambano la ndondi Kati ya wale Wabunge wapinzani wa jadi angalau Serikali iingize Pesa kuliko malumbano kuishia hewani pasipo faida yeyote.
 
Kuna kila sababu ya kumpima akili Werema katika hospitali ya Mirembe ili ikigundulika ni mgonjwa wa akili atibiwe aweze kuendelea na kazi yake iliyotukuka kwa kufuata maadili yanayokubalika! Na ikigundulika ana akili timamu afukuzwe kazi mara moja kulinda heshima ya ofisi ya AG!
 
Umekosea. Ujinga wa hao si sifa wala utambulisho wa Musoma au Mara. Mbona kunawasitaarabu kibao tu toka huku. Mfano mimi Mwenyewe. MWL Nyerere. VICENT nyerere. KANGI LUGORA. NA WEEENGI
Ni kweli kuteleza kwa Werema si kigezo cha Kuwahuku wana Mara wote tambua kila Mkoa,wilaya,kata,vijiji Tz kuna Watu wakorofi,wabaya nk , hv Yule Mkuu wa wilaya aliyechapa walimu bukoba anatoka Mara?Mh Sugu alianzisha varangati bungeni anatoka Mara, Lema na Akina Lisu vs Anna kilango walitaka kupigana wanatoka mara? Hivi wale wenye Hasira hadi wanajinyonga huwa wanatoka Mara? Wahalifu wote waliopo Jela ni watu kutoka Mara?
 
werema hafai kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, kwanza hata utashi wa kazi hiyo, pili anaongea kabla ya kufikiri negative na positive impact ya anachoongea. ana hasira/jazba sana, labda kabila lao ndo walivyo.
 
Ni kweli wakati Wao wanaongea Werema hakuomba mwongozo wa M/kiti wala hakuwaingilia ingilia alikaa kiimya hadi wakamaliza kuongea,tatizo lilianzia pale walipoanza kumwingilia ingilia ndipo akapoteza umakini kabsa ikawa Kama ilivyokuwa kwa Juma nkamia na Pia Peter Serukamba inapaswa Wabunge wawe wanavumilia kwanza Mtu amalize kuzungumza kisha wajibu kwa kufuata Kanuni, kinyume na hapo tutashuhudia Vioja zaidi ya hivi.
 
werema hafai kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, kwanza hata utashi wa kazi hiyo, pili anaongea kabla ya kufikiri negative na positive impact ya anachoongea. ana hasira/jazba sana, labda kabila lao ndo walivyo.
Kwanza naona umemhukumu Werema kabla ya kutaka kujua nini chanzo cha yote hayo, kwa hakika Kama wale Wabunge wangekuwa watulivu wakasubili Werema amalize kuongea kwanza ndipo na wao wajibu hayo yote yasingetokea, Werema alikosa umakini baada ya kuingiliwa ingiliwa sana tambua yeye ni binadamu Kama wengine ambao nao wakizongwa wakati wanazungumza hughafrika cha Msingi wabunge wanapaswa wawe wanavumilia hadi mtu anamaliza kuongea kisha wao wanajibu kwa utulivu zaidi.
 
This is very stupid hata za EPA JK alisema si zetu!! jamani jamani!! Ni sera za CCM kuiba chochote unachodhani hakina mwenyewe!!

Wanasema sio zetu kwasababu hatuna uwezo wa kuthibitisha hilo
 
Kila Binadamu ana mapungufu yake japo Kiongozi anapaswa Kuwa na Mapungufu kidogo ukilinganisha na wale anaowaongoza, Sasa umefika wakati wa Wabunge kuacha Tabia ya kuingilia hoja za Wengine wakati wanaongea wanapaswa wawe wanavumilia wenzao ili mbunge akimaliza yeye anamjibu kwa hoja pasipo kuingiliana ingiliana wakati wa kuzungumza matokea yake inaamsha jaziba bila sababu.
 

Mkuu hilo kimsingi ni kosa kubwa sana, kumtukana mbunge ni sawa na kumtukana mpiga kura wake, but am telling you jamaa hatafanywa kitu na wala hataonywa.
 
Mifano yako inakifafa. Una- spin chadema. Toka hapa. Kuna mifano mizuri tu ya fujo na ukola nje ya mkoa wa Mara. Mfano. Aden Rage kupanda na Bastola jukwaani Igunga. Mizenguo Pinda kusema Wapigwe tu. Ka mama Makinda nakejeli zake. KOMBA NA misitu yake sa anauza kila kitu aende zake kwa Kony
 
Kama mwanasheria mkuu msomi mwenye cheo kikubwa katika taifa hili anachukua sheria mkononi kumpiga mbuge kuna siku nahisi hawa waheshimiwa wanaweza kutumia silaha au ngumi kumpiga mwaenzao na yakatokea makubwa!!Hivi majuzi mbunge Kyesi alinusurika kupigwa na wabunge wa Zanzibar.Hivi vyombo vya usalama vinachukuliaje jambo hili!!?
 
Huyu werena anafikiri bungeni ni kule kwao musoma.kafulila angemuonyeza za kibunyamulenge
 
Tiba Pekee ni Kuandaa Pambano la ndondi Kati ya wale Wabunge wapinzani wa jadi angalau Serikali iingize Pesa kuliko malumbano kuishia hewani pasipo faida yeyote.
Sijui wangeachwa wazipige jinga werema angekwenda dakika ngapi na mtumbo wake huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…