Hamjui sheria utopolo, kunyoosha nini..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Yanga imejua kuwanyoosha. Hamuwazi tena makombe sasahivi, anyway kila mtu abembeleze wachezaji wake kama anaona inafaa.. lini nanyie mtaenda kumbembeleza mzungu[emoji1787][emoji1787] ili arudi??
Mkataba ulimruhusu fei kuvunja na kulipa milioni 112, fei sio chizi hujiulizi kwanini hakuweka mil200 kwenye akaunti ya yangaH
Hapa wewe umetawaliwa na Hisia (Emotional) sio mkataba! Ujue mkataba unalimdwa sheria na sheria ndiyo utaratibu, kwaiyo TFF walichofuata wao ni taratibu sio Emotional kama zako
Unajua kujipa moyo, kila siku nakuona unavyojitahidi, eti haliwezi kuwa rahisi, kama vile unajua wanachofanya viongozi wako nyuma ya pazia[emoji1787][emoji1787]Hili swala haliwezi kuwa rahisi hivi kama mleta mada anavyodhani nashangaa hata watu wanavohangaika kubishana nae.
Time will tell, hizo mbinu tu za kuficha aibu...Mwanasheria wa Fei amekanusha! Anasema ni taarifa za uongo
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
HuYU bila shaka ni uto!Daah unatumia nguvu nyiiingi kuandika Uzi huku source yako ni gazeti 🤣🤣
Tulia mzee achana hisiaMkataba ulimruhusu fei kuvunja na kulipa milioni 112, fei sio chizi hujiulizi kwanini hakuweka mil200 kwenye akaunti ya yanga
Huo mgogoro hutousikia tena nimekaa palendio mkanda unaofuata, na haki yao wataipata, GSM atake asitake!
Kajua kuwajambisha na wao wamejambaDogo kaja na boti leo gari kama tatu za kifahari zimekuja kumfuata hapa bandarini engineer ersi ndani akiwepo ..anayedhani ni uwongo asubiri jumapili fei ndani ya dimba la mkapa
He won't evaporate coz ana kipaji, ndio maana kocha wake halali kila siku anahangaika kumpigia simu, na kocha alishakiri mipango yake kwenye timu haiendi bila Fei.Ila mimi kama Fei karudi nafurahi kwani he is too young to Evaporate..
kutoka milion 4 mpaka 15 ata mimi narudiKajua kuwajambisha na wao wamejamba
Kuna Utopoz wengine hapa wanaona Fei hana msaadaHe won't evaporate coz ana kipaji, ndio maana kocha wake halali kila siku anahangaika kumpigia simu, na kocha alishakiri mipango yake kwenye timu haiendi bila Fei.
Aaa sanakutoka milion 4 mpaka 15 ata mimi narudi
Hisia ziko wapi? kama mtu kavunja mkataba mlioingia nae, kwanini mpande boti kwenda kubembeleza kwao badala ya kumshtaki panapohusika?H
Hapa wewe umetawaliwa na Hisia (Emotional) sio mkataba! Ujue mkataba unalimdwa sheria na sheria ndiyo utaratibu, kwaiyo TFF walichofuata wao ni taratibu sio Emotional kama zako