Sakata la Kupotea Rajab Omari Mtana na Hukumu ya Kunyongwa kwa Masheikh 10 Tanga

Vangi...
Yawezekana hakika mimi sikuelewi kama wewe usivyonielewa mimi.

Hakika hawa ndugu zetu wa Handeni waliponzwa na Uislam wao.

Rejea kunisoma upya toka post # 1.
Nitakupa mfano mmoja.

Deep Throat aliponieleza yaliyotokea nikamwambia nataka kushuhudia mwenyewe kwa hiyo nitakwenda Handeni.

Jibu lake likawa kuna vizuizi njiani mabasi yanasimamishwa wanakutazama ukiwa na ndevu umevaa kanzu unashushwa basi linaendelea na safari.
 
Mzee muongo huyu Kwamba kuwa na ndevu Ndio kiashiria cha kuwa Muislam au?
 
Mzee muongo huyu Kwamba kuwa na ndevu Ndio kiashiria cha kuwa Muislam au?
Mazaya,
Katika mjadala adabu ni muhimu sana kwani ikiwa lugha ikiwa ni ya kishenzi hapana staha haya yanaua mjadala.

Ungeweka ukaandika kama hivi:
Ukauliza lile usilojua kuhusu ndevu na Uislam.

Ungeweza pia useme Mzee Mohamed hasemi kweli badala ya kusema, ''Mzee muongo huyu.''
Unaweza kusoma hayo hapo chini:

''...siku ya Ijumaa kuanzia saa nne asubuhi polisi walivamia kijiji cha Madina (Negelo) mbali kidogo na kijiji cha Mziha.

Katika siku hiyo Polisi walifanya msako wa nyumba kwa nyumba wakiambatana na watu waliovaa kiraia ambao walionekana kana kwamba wakitowa muongozo na kuwasaidia polisi.

Ndani ya siku hiyo polisi walipiga mabomu, kufyatua risasi ovyo ovyo na kupelekea watu kadhaa kuuwawa.

Miongoni mwao ni Imamu wa Msikiti kijijini hapo Sheikh Ayyuba, Ustadh Khamis Ramadhan Samsuli, muumini mmoja na mtoto.

Aidha, Polisi katika kadhia hii wamekamata wananchi wengi na kujeruhi wengi huku majeruhi wakiondoka nao.

Kama haitoshi katika siku ya Jumamosi na Jumapili polisi walirudi tena katika vijiji hivyo kuendelea kukamata kila mvaa kanzu na hijabu katika maeneo ya vijiji hivyo.

Pia wamekuwa wakipekuwa kila gari kuwakamata waliovaa mavazi ya kanzu kwa wanaume, na hijabu kwa wanawake.

Badhi ya wanawake wamekuwa wakivua hijabu ili kuokoa maisha yao.
Aidha, wananchi wengi wamepotea na wengine wamekimbilia maporini kuokoa maisha.

Wanawake na watoto wamesambaratika na familia zao hususan baada ya kukichoma moto kijiji cha Madina.''


Moja ya nyumba iliyovunjwa Negelo
 
Nasikitika kuwa Mohammed ameamua kuwa mpuuzi wa kudumu
Mjinga wa muda wote

Wapumbavu huwa na 'confidence' sana. Sijui hii inatokana na nini!
Mkorea,
Hujui kipi kinachonifanya kujiamini?:


BBC Glasgow, 1991


VoA Washington DC 2011

AZAM TV 2015


 
We lizee hii takataka uloorodhesha hapa ndo unatumia kuhalalisha uharo unaoutetea?๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜hili lizee halina akili
 
Wanasema, mbuzi wa bwana kheri amekula shamba la bwana kheri bas kila kitu kheri
 
Haijalishi. Hata kina Osama walikuwa wasomi wakubwa tu. Huu usomi wako haulalishi wewe kufanya upumbavu.
 
We lizee hii takataka uloorodhesha hapa ndo unatumia kuhalalisha uharo unaoutetea?๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜hili lizee halina akili
Mpaji...
Kutokana na hayo uliyosoma hapo ndiyo nimealikwa kwingi katika vyuo vikuu Afrika
Ulaya na Marekani kuzungumza.
 
Najaribu kuangalia connection ya tukio na neno 'Waislam' hata sioni. Kuna ulazima gani wa kuandika neno waislam kama sio kutafuta public sympathy? Kwa nini hukusema Wadigo au wabondei? Yani muislam akiua asihukumiwe kwa sababu ni muislam? Wew mzee unazeeka vibaya.

Yani unataka waislam wasiguswe kisa wataonekana wanaonewa. Uzuri yote haya yamefanyika ktk ardhi iliyojaa waislam ambapo ukiacha na Rais wa kipindi hicho kuwa muislam, RC alikuwa muislam na possibly migambo wa kijiji na serikali ya kijiji nayo ilikuwa ni ya Waislam. Possibly hata aliyeuawa naye alikuwa muislam.

Wew mzee hizi chuki zako uzuri umekuta nchi ni ya ki demokrasia au ni kwa sababu nchi haijapitia machafuko yoyote ya kidini au kikablia ikaona madhara yake. Wew ulitakiwa uwe ulisha shughulikiwa mapema. Ni vile tu hata hvyo watu wanakupuuza
 
Hata umfunde vipi huyu haelewi Wala habadiliki. Yuko kwenye BOX LA uislam haoni chochote kingine hata kikiwa chema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ