bunge kitu gani bwana..wabunge wenyewe wala rushwa wakubwa achana naoHaya ni maajabu ya ulimwengu!! Sasa kama kamati ya bunge haina madaraka ya kuitisha mkataba, ambao dhahiri tena bila chenga wala mawaa ni wa KIFISADI, basi tutegemee washuke MALAIKA mbinguni kuitisha hiyo mikataba. Yaani mtu kavuta mpunga wooote...kazi kafanya kiduuuchu...halafu badala ya kuisapoti kamati ili peas yetu irudi mtu anakuja na kauli kama hizi dah...
Nimekupa mfano wa Hati ya Muungano kama benchmark yangu katika siasa za Tanzania.Mbona tupo pamoja mkuu, kuanzia mwanzo hoja yangu ni kuwa kificho cha nini? Ninashangaa unasubiri ukweli, utaupata wapi ikiwa ilichukua 7 kutafuta faili na sasa yanazuka mengine kama haya ya bunge? Ukweli upi unaousubiri ikiwa mwenyekiti PAC aliomba mkatab, Mwenyekiti ulinzi na usalama akakiri kuupata, Bunge linasema kinachotakiwa ni maelezo ya kina. Ukweli upi tena na utaupata wapi?
Maandiko yako mengi ya nyuma yanatoa angalizo kuwa umeishaelewa ukweli wa suala hili ila unataka kuudhihirishia ulimwengu kuwa ulichokisema ni kweli.Hakuna mahali nimeweka hitimisho la suala hili, hata hivyo ubabaishaji umezua hisia kwa jamii na ni haki ukizingatia serikali inasema hili, bunge linasema kile kamati hazijulikani zinafanya kazi gani, bunge halijui kamati zimeomba nini
Naomba uelewe kuwa Ukweli huwa haufichwi bali unacheleweshwa.Hoja hapa ni kuwa wanaficha ukweli, ndio maana tunawaangalia kupitia mboni za macho na kujiuliza, ndio hawa wanaosema wanapambana kweli?
Ninaamini ukweli utapatikana lakini inawezekana siyo kwenye muda unaodhani wewe ni mwafaka.Ukweli utapatikana wapi katika ubabaishaji uliopo?
Rekodi zinaonyesha ukibadili mwelekeo kila taarifa inapokuja! katika hali hiyo unaupta wapi ukweli? Ni upi unaoufuata!
Nimekupa mfano wa Hati ya Muungano kama benchmark yangu katika siasa za Tanzania.
Tuliwahi kuambia hivi hivi kama unachokisema kuwa tunasubiri ukweli wa nini wakati hakuna Hati ya Muungano. At the end of the day, Hati ya Muungano ikatolewa na serikali. Kwa mantiki hii, nimejifunza kusubiri ukweli kwa sababu ukweli haufichwi bali hucheleweshwa tu.
Maandiko yako mengi ya nyuma yanatoa angalizo kuwa umeishaelewa ukweli wa suala hili ila unataka kuudhihirishia ulimwengu kuwa ulichokisema ni kweli.
Hutaki kuangalia picha nzima kuanzia Polisi, Bunge na vyombo vya habari. Kwako kila kinachoandikwa na vyombo vya habari ni kweli kama vile hivi vyombo vyetu vya habari nivya kuamini.
Hakuna tamko rasmi la polisi kupitia press conference kuhusiana na suala hili. Tamko la Polisi lingetufanya kuelewa upande wa Polisi. Tunasoma tu habari kwenye magazeti zikisema fulani amesema hivi au vile mbaya zaidi habari hizi zinakinzana.
Kwa sasa tumepata Tamko rasmi la Bunge. Ninasubiri Tamko rasmi la Polisi.
Naomba uelewe kuwa Ukweli huwa haufichwi bali unacheleweshwa.
Una maana gani unaposema ''ndio hawa wanaosema wanapambana kweli'' Una maana bunge au Polisi?
Ninaamini ukweli utapatikana lakini inawezekana siyo kwenye muda unaodhani wewe ni mwafaka.
Mimi ninausubiri ukweli ili nipitishe hukumu yangu.
Usiwe na wasi wasi MTAZAMO, taratibu utaelewa kwa nini wengine hatuna imani na serikali hii au yoyote ile itakayoundwa na CCM...tatizo ni mfumo ingawa wengi wameshindwa kutuelewa. Hata Mwalimu Nyerere naamini kama kuna kitu kilimsononesha hadi anaingia kaburini ni about turn ya wateule aliowapigia debe kuanzia kwa Mwinyi hadi Mkapa.Hili sakata linachezwa kitoto sana ....usanii wa kitoto
Aeshi ame Lugoliwa?Mimi naamini maneno ya Aeshi (?) M/kiti wa PAC niliyemsikia kwa masikio yangu na niliyemuona kwa macho yangu akiongea ITV.
Kamwe sitaamini hili tamko lindana la ofisi ya Bunge. Halafu nani alisema Magu anaweza kutumbua kila jipu? !
Mnapotafuta mileage za kitoto kupitia matukio kama haya wengine tulishachoka haya ...hapa tunazungumzia ufisadi ...mkileta uchadema na uccm wenu mnaishia kuwasaidia CCM kuhamisha mjadala na kuanza kuwajadili akina EL , yule mbunge aliyepita wa segerea n.k ...hatuwezi kuwatandika CCM kwa uhakika kama zamani ...tuzungumze ufisadi na jinsi danadana zinavyopigwa ....uvyama ni upuuzi tu ...
Wakimkamata huyo sasa si Nchi inaangua yeye nisehemu ya serikali upuuzi wote uliofanyika anaujua mpaka sasa hiviNa chama chetu Pendwa CCM ...aiseee
Cha kushangaza hawamkamati hata Lowasa
KWELI hili sakata likiisha kireja reja (kama inavyoonekana ndikolinakoelekea), Imani kwa Serikali ya JMJP kwa wengi ITAPUNGUA sana! Atumbue majipu BILA KUJALI yapo sehemu gani ya mwili kama alivyowahi kusema huko nyuma....Nilikuwa na Imani na hii serikali ya awamu ya tano. Lkni, kama ni asilimia sasa zinazidi kupungua toka 95% hadi 50%. Ngoja tusubiri kitakachoendelea.
wewe lala kidogo tuliza akili ukiamka u andike vyenye maana achane na mabilioni na trillin aanze mojaKila nikitafakari naona watu wanaitwa majipu takribani walioshika nyazifa za juu serikalini.Serikali iliyopita imefanya mema na mabaya mengi ila dalili inaonyesha unataka kufanya mema na kuwadhibiti wanaofanya mabaya katika utawala wako.Kwa hali hii ya kutumbua wenye nyadhifa za juu serikali wa serikali iliyopita naona kama unawaonea tu maana huenda hata waliokuwa waadilifu walibadilishwa kwa kupokea VIMEMO kwa kila uamuzi walioufanya hivyo leo wanawajibishwa kwa makosa ya wengine.
Anza ukurasa mpya maana jinsi wewe unavyoona ugumu wa kutumbua majipu ndivyo na wao walikuwa wanaona kupinga uamuzi wa aliyeko juu yake.
chama cha mafisi kilichokata pumzi.Tusitegemee mabadiriko kupitia chama cha kavu cha ccm
Mabadiliiiiiiiiiiiikoooooooooooooooooooo! Mafufuli. M4C = Mafufuli for Chain...Kuna watu bado wana imani na mabadiliko ndani ya chama chetu pendwa