Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Ni saw huenda binti ana tabia mbaya, hii haimpi mwalimu uhalali wa kumdhalilisha.
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.

Pili, maringira ya kulizima hili sakata liko wazi, mwenye shule analinda sifa ya shulw.

Kuhusu mahakama, huu ndio wito wa wazazi sasa wanataka ukwwli na haki vipatikane
Una uhakika alidhalilishwa?.......
 
Je wewe mtoa uzi unaamini aliyosema huyo mwanafunzi yana ukweli?.kama je aliamua kuacha shule je?.kama kweli aliingiliwa kimwili na huyo mwl.jimmy kwanini hakuripoti kwenye uongozi wa shule?.kama kweli shule ina ukuta alipotajwa getini je mlinzi alihojiwa?.mwisho kwanini hakurudi nyumbani kwao kwenda kutoa taarifa?.
Mkuu
Ni watoto wangapi wana ujasiri kumshitaki mwali?

Unafikiri kwanini aliandika barua na kuwaachia wanafunzi wenzake kuwa wajihadhari na mwalimu Jimmy?

Yes kitendo cha kutokwenda kwao kinatia shaka lakini hatujui mazingira ya tukio yalimvuruga kisaikolojia kiasi gani?
 
Mkuu umewahi kupatwa na jambo ukawachukia hadi wazazi wako?

Kama kuna ukweli kuwa alibakwa anaweza kujikuta anawachukia watu wote hadi wazazi waliompeleka shule.

Pili hatuoni kuwa Jimmy alitajwa tangu mwanzo alipoacha barua kabla hajatoroka?

Angemtaja Jimmy baada ya kupatikana hata mimi ningetilia shaka
Kutajwa kwa jimmy haitoi uhalali wa kutenda kosa..........kwahiyo kampenda baba joseeeeee
 
Boss boss.
Huyu ni mtoto wa kike tena mdogo, hili tukio kama kweli alibakwa, akaumia, huoni hasira na chuki inaweza kumpa hasira ya kufanya maamuzi yasiyo sahihi?

Hujawahi kukasirika ukafanya masmuzi mabovu?
Kwahiyo akampelekea baba Jose amalizie?......halafu ni kidato cha tano duuuh
 
Mmmh Coca tuliza kichwa vizuri.
Hakuna mahala iliandikwa popote kuwa alikaa kwa baba Jose mwezi mzima...labda uweke ushahidi hapa.
1. Baba Jose ametajwa na mama muuza genge alipokutwa Ester

2. Baba Jose haijulikani kuwa ni kweli alimla mtoto ama laah, mtoto hajakiri popote kuwa alikuwa kwa baba Jose
Alikiri na alisema ni msamaria mwema kwake, na km maelezo ya mama wa genge ni tofauti, mbna yeye Esther haku kana??

Kwan huyo kupotea kwake kumechukua mda gani had kupatikana?
 
Huyo aliyemficha alikuwa ni nani na alimficha kwa misingi ipi mhanga wa ubakaji?
na kama alibakwa bwenini uongozi wa shule si upo? kwanini atoroke/kupotea maeneo ya shule na kuhifadhiwa na watu wengine nje ya shule bila kuripoti kwa polisi ama ngazi za serekali sehemu husika?. Kuna harufu ya kitu kisicho cha kawaida ndani ya hili jambo
 
Back
Top Bottom