Lakini mbona anaenenda kimataifa .Uko sahihi,ile ndio number yake ya Ibadan.Hata hivyo anamtumia Mungu Jehovah. sikiliza mahubiri yake you tube sema tu kazidi manjonjo ndio kinachomcost
UMEMALIZA KILA KITU KOMENTI YAKO NI FUPI LAKINI NZITOHata mimi sioni sababu.
Halafu Tanzania uwa inafurahisha. Akikamatwa mtu wanayempenda bila kufuata sheria, raia inalalamika, akikamatwa mtu wasiyempenda bila kufuata sheria, raia inasema hata kama ache akamatwe.
Kwahiyo unashauri nini.?85% ya makanisa ya Kikristo ni mahekalu ya shetani waumini wengi awajui Siri bali viongozi wao. Hasa haya makanisa makubwa ni hatari sana.
Another MakerubiπMhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika!
Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!
Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.
MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,
Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.
SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU
Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)
Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?
Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.
Tukiachana na mbinu ya ukamataji!
Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!
Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!
Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusali pamoja imekuwa kosa la jinai?
Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?
Zumalidi kasafirisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?
Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?
Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,
INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!
Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!
TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!
Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuluka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!
Kuna wivu tu unawasumbua viongozi wa madhehebu na dini nyingine kuona waumini wao wanafurika kwa mfalme zumaridi..hivyo wameamua kumchonge.Jumba lake pia nadhani ni la ibada maana niliona youtube siku wanalizindua sijui jumba la mfalme zumaridi pia watu wanakaa pale.
Nadhani huyu mama kakamatwa kwasababu kaanzisha dhehebu lake la kiafrika sisi tumezoea madhehebu yaliyoletwa na wengine.
Sioni tofauti ya Zumaridi na wale wengi tu wanaojiita manabii.
Acha kukariri imani zinabadilika kulingana na wakati.Lakini mbona anaenenda kimataifa .
1.Mavazi na dansi zake ni chukizo mbele za Mungu, kuna tofauti ya mavazi ya Mkristo na mpagani.
2.Anajiinua yeye zaidi kuliko Mungu Jehovah ana kaa mahali pa Mungu Jehovah kwa kujiita Mungu
Situation ambayo iko spiritul inapelekwa ki spiritual. Hakuna sheria kwenye mambo spiritual. Sheria zimewekwa na wanadamu tuBado mleta mada ana hoja ya msingi, kuna uvunjwaji mkubwa kwenye ukamataji watu, kwa nini polisi aliyevaa kiraia aruke ukuta kuingia kwako? Je mwenye nyumba akiamua kum shoot?? Kwa nini ukamataji usifanyike kwa kufuata sheria na taratibu? Pili kama huu mfumo wa aina hii ya ufunguaji mashtaka itaendelea basi hata wewe Kuna siku utabambikiwa kesi kwamba umeiba kifaru kama yule mwanakijiji kule ukraine [emoji12][emoji12]
Nakaa eneo ambalo kanisa lake lilikuwepo na likafungwa. Kwa ujumla sikubaliani na huyu mama,Ila treatment ya polisi kwa raia,sio tu Lady Zuma,na wengine wengi hairidhishi.Wanatumia nguvu kupita kiasi.Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika!
Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!
Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.
MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,
Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.
SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU
Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)
Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?
Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.
Tukiachana na mbinu ya ukamataji!
Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!
Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!
Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusali pamoja imekuwa kosa la jinai?
Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?
Zumalidi kasafirisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?
Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?
Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,
INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!
Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!
TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!
Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuluka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!
Nikusahihishe, huko juu umesema serikali ipo kimya sakata la mtwara na arusha, sio kweli serikali imezungumzia hayo na kamati maalum ilishaundwa na taarifa yake ilikuwa inamsubiri Rais arudi toka ziara ni akabidhiwe ripoti hizo.Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika!
Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!
Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.
MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,
Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.
SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU
Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)
Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?
Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.
Tukiachana na mbinu ya ukamataji!
Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!
Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!
Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusali pamoja imekuwa kosa la jinai?
Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?
Zumalidi kasafirisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?
Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?
Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,
INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!
Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!
TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!
Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuluka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!
Hahaha,Hatimaye makerubi wakashukiwa na roho wa vita.
ππππHahaha,
'mitume wa mfalme Zumaridi wakashukiwa na roho wa vita, yani ni Makerubiiii' [emoji23][emoji23]
Kwa taarifa yako ni kwamba polisi huwa hawakamati waharifu huwa wanawakamata watuhumiwa wa uharifu,ambao bado uharifu wao haujathibitishwa kwa kuwa kazi ya kuthibitisha uharifu wa mtuhumiwa ni mahakama.Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika!
Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!
Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.
MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,
Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.
SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU
Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)
Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?
Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.
Tukiachana na mbinu ya ukamataji!
Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!
Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!
Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusali pamoja imekuwa kosa la jinai?
Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?
Zumalidi kasafirisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?
Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?
Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,
INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!
Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!
TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!
Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuluka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!
Sio hisia,tuongee kama watu wenye utashiUnaleta hisia kwenye already known facts!
kwani inakatazwa mtu kutembelewa nyumbani kwake?Pale walipokutwa watu sio kanisa, ile ni nyumba ya makazi. watu 149 kwenye nyumba ya mtu binafsi walikua wanafanya nini kama huduma zake za kikanisa zimefungiwa? Na kwanini polisi walivyofika nyumbani kwake walitoka hao misukule yake kuwazonga hadi kumdondosha mmoja wa polisi. Hata ingekua mimi unanifanyia ule ujinga niko mwenyewe nikienda kubeba kikosi changu itakua mbwai tu.
Kwani neno la Mungu Jehova mnaemwamini halijasema''Tazama ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja''???sasa kama wale waliamua kukaa pamoja kwa umoja shida iko wapi?Wale walikuwa wanaishi pale, hawakuwa wanaabudu. Wakatoliki hukutana tu kwa sala na hutawanyika