Mwambie!kwanza Hadi makanisa mama yana maigizo kwa nini huwa wa naongea kama wanaimba?hebu refer '' Bwana awe nanyi. ''Kwani kufanya maigizo ya kijinga ni kinyume cha sheria au Katiba ya nchi?
Mbona Masanja huwa anafanya maigizo ya kijinga na hakamatwi?
Basi tuseme Mungu na hafai kwasababu hatumuoni Wala kumjua..Huwezi kumpenda Yesu usiyemjua wala kumuona ukamchukia Zumaridi uliyemuona kwa macho na kumsikia.
Kosa la kudhihaki Mungu,kutumikisha wanaume ki....no ,na kusafirisha binadamu kinyume cha taratbuAhukumiwe kwa kosa gani?
1.Je!Biblia ilieleza style ya kudance unapomtukuza Mungu?kiungo chochote unachokiona kwenye mwili wa binadamu kimeumbwa kwa mfano wa Mungu,hata akikata mauno ni kiungo cha Mungu sema binadamu mmetunga sheria zenu,sijaona kwenye amri kumi za Mungu sehemu iliyokataza kucheza kwa kutumia style Fulani na viungo fulani tu. Kuhusu mavazi hakuna sehemu imesema haya ni mavazi ya kikiristo au haya ni kipagani....
2.Yehova kampa kila binadamu utashi wa kuchagua mema na mabaya. na kila mtu atalipwa ujira wake sawasawa na matendo yake... Wale watu kwa hiari Yao wameamua kumuamini nyie wana dunia mnaanza kuwahukumu,je? hiyo ni kazi yenu kuhukumu au kazi ya Yehova?Jamani tusiwe kama mafarisayo
Kosa la kudhihaki Mungu,kutumikisha wanaume ki....no ,na kusafirisha binadamu kinyume cha taratbu
Binafsi yangu Mimi nashindwa kumpinga kwa kuwa police hawana cha maana wanachoeleza kuhusu mtuhumiwa,wanadai kashtakiwa kwa ajili ya Human trafficking ya watu 149 mbona hawasemi kawa traffic kutoka wapi,kwenda wapi,kwa lengo gani?UBABAIFU!Niamini,kuna sehemu kuna mtu ana maslahi na hii case. Hawa mapolice washapoozwaKabisa, cha ajabu mtu anatangwa IMAGE INACHAFULIWA halafu baadaei anaachiwa kwa kukosa ushahidi! Brand za watu zilindwe, kama kuna makosa, sheria zifuatwe huo ndiyo ubinadam!
SIUNGI MKONO UCHAFU WOWOTE! LAKINI IPO HAKI YA MTUHUMIWA
Baadae ya polisi kuruka ukuta, nyie mlichukua hatua gani?Mkuu DP,Kama kuna taratibu za kufuata mbona ile siku ya kwanza police Hawa kufuata taratibu za kumkamata,walienda bila search warrant wakaingia kikomandoo.kwa nini rule ukuta wa mtu na geti lipo?,siku ya pili ndio wakaenda kiutaratibu Je hiyo imekaaje?
Usirudie Tena kumfananisha YESU na Uyo mfalme wenu.Kwani hata yesu alisurubiwa kwa kujifanana nisha na Mungu
Haya MAJAMBAZI mapolisi ya CCM kazi yao ni kuua, kupiga na kupora pesa tu. Katiba Mpya ni muhimu sana sana sana, hawa majambazi WA MCHANA KWEUPE watatumaliza.Polisi ya Tanzania imeshamtoa mfalme damu.
View attachment 2135077
Wacha kila kitu kuwahi kwenye siasa.Nyie chekeni tu lakini akija kamatwa kiongozi wa kisiasa kwa style ileile mtakuja kunielewa!
Hatukatai makosa! Lakini sheria zinafuatwa? Makosa wanayotuhumiwa na makosa ya Jinai kweli au ya kupikwa?
AIBU TUNAIPATA MAHAKAMANI
Human traffickingUmesoma makosa polisi wanayomtuhumu nayo?
Wacha kutetea ujinga.wale mazombie yalikuwa kwenye kipaimara wakati yakifanyia askari uzombie ule?Sheria gani inasema ukileta mgeni kwako, ukiwa na kipaimara au msiba unatakiwa kuripoti serikali ya mtaa?
Tuwekee hiyo sheria na hukumu yake kwa wasioifuata.
Swali la kwanza hujanijibu..1.Biblia imeeleza watu wavae mavazi ya kujistiri mwili, kupitia mavazi uamsha tamaa ya uasherati.mavazi ya kumtukuza shetani mfano taiti, kaptula, bikini, suruari, vimini lengo kuu ni kuchochea tamaa ya uzinzi.Maandiko yameeleza kila kitu Mkristo aweje kuanzia Vyakula, mavazi,
Hili ni tatizo kubwa hata kwa vijana kadhaa wa upinzani na wanaharakati wanaolalamika vyombo vya dola vinawaonea.Hata mimi sioni sababu.
Halafu Tanzania uwa inafurahisha. Akikamatwa mtu wanayempenda bila kufuata sheria, raia inalalamika, akikamatwa mtu wasiyempenda bila kufuata sheria, raia inasema hata kama ache akamatwe.
Kuna mwanaume aliyelalamika kutumikishwa kingono? Acheni ujambazi wenu ninyi.Kosa la kudhihaki Mungu,kutumikisha wanaume ki....no ,na kusafirisha binadamu kinyume cha taratbu
Wewe hayo ya wahamiaji haramu umeyatoa wapi bro?Wale ni wa Tanzania kamili na vitambulisho vya NIDA wanavyo... Ndio maana tuna sema report ya policcm Ina UKAKASI.Baadae ya polisi kuruka ukuta, nyie mlichukua hatua gani?
Hivi unajua issue ya kwenda kumkamata mtu kahifadhi wahamiaj haramu Ni Kama vile unavokwenda kumkamata mtuhumiwa wa ugaidi au madawa.
Hawa watu wa human trafficking Mara nyingi huwa wako na silaha za moto kujilinda, na wako tayar kufanya chochote ilimrad wasitiwe Kwny mikono ya sheria.
(Fuatilia wanavyokamtwa waethipia wanaozamia tanzania Mara nyingi)
Na ukisema ufuate utaratibu,
utafeli kuwakamata maana wengi wao huwa wako connected na viongozi corrupt wa mitaa na police.
Ukinifanya unatoa taarifa, ukienda ukuti mtu.
Nadhan police walitaka kuwakamata ready handled, caught on surprise.
WALICHOKIFANYS POLISI SIO KITU KIGENI KABISA KWNY MASUALA YA UKAMATAJI WA WATU WA HUMAN TRAFFICKING.
Sababu gani za kisheria zilizosababisha kanisa lake kufungiwa?Nakubaliana na wewe hapo kwenye kumkamata zumaridi hata Mimi niliona Sheria ilipindishwa Sana lakini hii huwa inatokea Mara nyingi hasa kwa jeshi la polisi hapa Tanzania askari anakuja tu anamkamata raia bila kufuata taratibu maalum.
Hapo kwenye mashtaka ya mtuhumiwa kuhusu kusafirisha watu nadhani wamemaanisha human trafficking? ambayo tafsiri yake kisheria inaweza kua Pana sana, wataalam washeria watatusaidia.
Kuhusu ibada ni kweli kuabudu sio kosa kisheria lakini umefuata taratibu? Kumbuka zumaridi alikua na kanisa na likafungiwa kwa sababu zilizowekwa wazi kisheria na zilizokua na mashiko kabisa na alitii amri, so kitendo Cha yeye kuanza kufanya ibada nyumbani kwake maana yake kahamishia kanisa pale ambapo kwanza sio eneo la kanisa ni eneo la makazi na pia bado vigezo vilivyofanya afungiwe Mara ya kwanza hajavitimiza lakini analazimisha kuendelea na kanisa lake.
Kama anataka kuabudu bila kusumbuliwa afuate Sheria asajili kanisa lake na afuate taratibu zote za kisheria hakuna atakayemsumbua hata wakitaka kulala humo kanisani hakuna atakayewafuatilia.
Mtoa mada anamihemkoTatizo tunakimbilia kulaumu bila kufatilia kwa kina, nahili limekuwa Tatizo kwa vijana wengi.
Kamanda wa polisi ameeleze vyema kabisa, kwamba wao walienda kumfata mtoto kwa kibali cha mahakama nahuyu mtoto inasemekana alitoroshwa hali iliyopelekea asiendelee na masomo.
Walipofika kwa huyo mama hawakupewa ushirikiano, wakaongeza kikosi wakaingia kwa nguvu na kukuta mengine yanayoendelea humo ndani ni kinyume cha sheria.
Naweza kuwa nimeongeza au kupunuza maneno ila tafuta maelekezo ya kamanda wa polisi yatakusaidia
Hawana mashiko wamebaki kutungatunga tu vimambo.Kuna mwanaume aliyelalamika kutumikishwa kingono? Acheni ujambazi wenu ninyi.