Kasababishaje tatizo, au ulipenda hao wafanya biashara wangeachiwa wafanye walotakalo.Ni wendawazimu kusababisha tatizo halafu ujifanye unatatua halafu utegemee kushangiliwa. Lazima uwe mjinga hasa kushangilia mambo kama haya.
Ni miaka mingapi hatujawahi kuwa na tatizo la mafuta wala sukari? Nani aliyesababisha upungufu wa sukari na mafuta?
Aliyeumbwa na uso wa haya, angejitahidi kwenda kimya kimya.
Sawa ila jamaa haelewi hiyo lugha
Ni kawaida,unetengeneza tatizo,halafu unalitatua ili uonekane "mkombozi".
Sasa mimi nashindwa kuelewa! Crude oil si ndiyo mwekezaji anatakiwa ajenge kiwanda cha kuyachakata hayo mafuta ili yaende kwenye semi refined na baadaye double refined? Sasa unatozaje kodi kubwa kweye malighafi ya kiwanda? Ila nilivyomsikia anazungumza nikabaki mdomo wazi eti yatozwe kodi kubwa ili kulinda viwanda vyetu. Sasa mfanyabiashara akileta semi refined au double refined si ataua viwanda vyetu pia? Jamani anayeelewa haya mambo hebu atusaidie tumechoka kulishwa matango pori na huyu jamaa!!Kwahiyo crude oil kodi 25% na semi refined ni 10%, kumbe unaweza kuexport raw material? Mnatulisha makinikia ya mafuta ya kula, nyambafu shenzi zenu,
Tra ni kikwazo cha ukuaji wa wafanyabiashara wengi,cha msingi inabidi waachiwe wafanye Kazi ya uajenti wa kuagiza vitu au bidhaa,wao waagize kisha sisi tununue kwao Maana kila bei wakiletewa wanakataa wanakupa bei watakayo wao utadhani wao ndo manufacturer,Ikiwa umefuatilia hili saga tokea mwanzo utaona TBS walikua upande wa wafanyabiashara kwa kusema hayo mafuta ni ghafi ila TRA wao wakakomaa na kusema na safi so walipe 25% badala ya 10% ya ghafi. Cha kushangaza hapa ni je, wao TRA wana mamlaka gani kuingilia kazi ya TBS ilhali hawana utaalam wa kupima ubora wa bidhaa?
Yupo live tbc.
Mtu yupo na media mnasema amestukizacheap public stunt.
create the problem, then come back in and offer the solution that the people demand.
Hata mm ndio nilielewa hivyo,ghafi au crude ndio inabidi itozwe kdg semi na refined zitozwe juu maana hata gharama za manunuzi kati yao ni tofauti. Lakini kwa upande mwingine ni sahihi ili kulinda viwanda na malighafi zinazozalishwa nchini ,ushuru ya Crude oil ukiongezwa itawalazimu kuagiza semi refined ambazo bei ya manunuzi ni kubwa au kulazimika kuanza kutumia malighafi kutoka nchini. Madhara yanayoweza kujitokeza ni kupungua kwa utendaji wa viwanda vya Ku process mafuta endapo wafanyabiashara wataamua kununua refined na kupack tu au kutopatikana kwa malighafi ya kutosha kwa msimu wote wa mwaka kutoka kwa wazalishaji wa ndani ,hii itapelekea baadhi ya watu kukosa ajira .Sasa crude oil si ndo inatakiwa ichajiwe chini maana refine zifanyike hapa tz ila magu chemistry ulisoma kweli au
Thamthilia inaendelea tamu sana hiiMhe. Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla bandari ya Dar es salaam muda huu. Anakagua matanki ya mafuta ya kula.