Huwa yanazungumzwa mengi sana tena yale ya Kishirikina na Uchawi kuhusu hawa jamaa, Kuna Dada mmoja alikuwa anaishi pale Msimbazi Home Shopping Centre kwenye lile ghorofa lao ambalo kwa sasa limechakaa. Aisee hii dunia ina mambo mengi ya hovyo sana 😂 😂 😂 😂aisee kufanya kazi na washirikiana nako ni kujitoa sadaka, hujui lini ataponyeza button ya kutaka damu yako.
Na huyo Jamaa kilichosababisha Mkono kukatika ni hapo hapo kwenye button ghafla akajikuta mkono umeingia kwenye vile visu vya kutrim magodoro 😢 😢 😢aisee kufanya kazi na washirikiana nako ni kujitoa sadaka, hujui lini ataponyeza button ya kutaka damu yako.
ni huzuni sana kwa kweli, Mungu amrehemu na aisaidie familia yake.Na huyo Jamaa kilichosababisha Mkono kukatika ni hapo hapo kwenye button ghafla akajikuta mkono umeingia kwenye vile visu vya kutrim magodoro 😢 😢 😢
unafikiri kuna dalali masikini?we ni tajiri kwani?
Nilishaleta Uzi juu ya hi kampuni ila niliashia kutukwnwa mno kuwa nina wivu na kuitwa mchawiMods tafadhari msitoe huu uzi, mwendelezo wake utakuwa na manufaa ya kufichua black market ya pesa inavyofanyika kariakoo na hawa jamaa. na ndio maana hatukusanyi kodi japo kuna Wilaya ya kikodi ya Kariakoo. Nyuma wako hawa jamaa.
wanalinga na kusumbua sababu wanaye Godfather anawalinda. umeonyesha mfano wa matajiri wa kiarabu ambao hutosikia mambo mengi mabaya wanaotendea watu, hawa ni wakatili tu, naamini kuna siku watarejeshwa kwao Yemen.Katika familia ya Waarabu matajiri wenye kiburi na kujisikia kwamba wao ndio wao ni hawa familia ya GSM.
Mbona familia za akina Bakhressa, Dewji, Subhash Patel hatuwasikii wakiwa na hizo mambo na wana mtonyo kuzidi wao
Enzi za Home Shopping Centre ndio maana ndugu yao alimwagiwa tindikali
pole sana kaka. unajua sisi watu weusi tunatawaliwa kwa ujinga wetu, badala ya watu wajadili hoja wakaishia kukutukana, unakuta hao ni wale njaa kali wanaenda kujipendekeza wapate pesa za kula.Nilishaleta Uzi juu ya hi kampuni ila niliashia kutukwnwa mno kuwa nina wivu na kuitwa mchawi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu haya sasa ni malalamiko ,jpm angekua amesafiri kwa mda ungekuwa na haki ya unachokisema ,sasa hayupo kabsa na hatakaa aje tena , kuendelea kumtaja taja marehemu ni kupoteza mda tu.JPM aliwafanya Hawa Matajiri janjajanja, Kuishi kama Mashetani.
Ila sahizi Mashetani ndio waongoza Nchi, ni haki Yao kusema "Serikali hii haiwafanyi kitu'.
Wapo sahihi Mkuu, hakuna wa kuwafanyia kitu sasa
Au kurushiwa jini 😀😀😀na kweli, kusema pia ni kujitoa muhanga, maana unaweza katwa kichwa na sio mikono.
Nimesha lalamika juu ya hii kampuni ya silent ocean kuwa Ni ya kitapeli mkanijia juu Sana ,mkasema kampuni inamiaka 15 so ni cleanNipo nimekaa palee naanza kuhesabu masaa
usikute sasa hivi jini linanizengea, wacha nijizungushie damu ya Yesu mapema. majini na mapepo yao yashindwe kwa jina la Yesu.Au kurushiwa jini 😀😀😀
huenda hawajui, wanatetea wasilojua.Nimesha lalamika juu ya hii kampuni ya silent ocean kuwa Ni ya kitapeli mkanijia juu Sana ,mkasema kampuni inamiaka 15 so ni clean
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimesha lalamika juu ya hii kampuni ya silent ocean kuwa Ni ya kitapeli mkanijia juu Sana ,mkasema kampuni inamiaka 15 so ni cleanNipo nimekaa palee naanza kuhesabu masaa
upo na uchawi wa bibi tumsaidie?Si uwaroge tu.
Nimesha lalamika juu ya hii kampuni ya silent ocean kuwa Ni ya kitapeli mkanijia juu Sana ,mkasema kampuni inamiaka 15 so ni cleanNipo nimekaa palee naanza kuhesabu masaa
Kituo gani na nipolice wa kituo gani wanamuambia hvyo Ni vyema uweke Kila kitu hadharani tumechoka na utapeli ,,these is anonymous platform usiogope lipuaas tuni sahihi, huyo kijana alienda kushitaki Central Polisi, maafisa wa polisi wakamuambia hata sisi tuna familia na tumepigiwa simu nyingi sana kuhusu hii kesi hivyo hatuwezi fungua mashitaka na kuharibu kazi zetu. wakamsihi tu aende kutafuta namna ya kumalizana nae wao hawana uwezo huo.
Vuta subira MkuuMasaa 72 mengi. Ungesema masaa 2 ili tupate muendelezo haraka