Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

Sasa nioe mke asiekua na kazi halafu nimtake achangie mahitaji ya nyumbani si nitakua mwehu, au mke wangu awe anatoka kwenda kazini halafu hapo hapo nimtake awe anafanya hizo kazi zote si nitakua kichaa? Atawezaje kuwa kazini at the same time awe nyumbani kuwaandalia watoto lunch? amekua jini?

Mimi nimekwambia mwanamke mwenye kipato kuchangia mahitaji ya nyumbani hampunguzii mzigo mwanaume isipokua anatimiza wajibu wake, maana angekua anaishi mwenyewe angejilipia mahitaji yake. Kipi haujaelewa?
 
Huenda leo akafunguka na kumtaja mbaya wake πŸ˜…

Sisi wazee yetu macho 🀭
Ipo siku hili fumbo litawekwa wazi,maana wanawake wakiona tu I'd ya mtoa mada tayar wanajua wamefikiwa

Mhusika ni bora ajisalimishe pm kwa mtoa mada mambo yasiwe mengi
 
Hawezi kufanya hayo akiwa kazini lakini akirudi jioni anayafanya au weekend. Asubuhi wote mnaenda kazini, ila yeye jukumu la kwamba utavaa nini, utakula nini kabla na baada ya kazi ni lake. Hapo bado hajabeba mimba, watoto wanamuangalia yeye..the least you can do for her ni kubeba majukumu yote yanayohusiana na pesa. Yeye akichangia achangie kwa hiyari pale ukizidiwa sio kwa kupangiwa.
Pamoja na haya yote niliyoongea kitu cha muhimu ni makubaliano yenu ninyi wawili, hakunaga marking scheme...
 
N
Nyuzi zako tunzitengenezee Pdf kila Thread itakuwa na Chapter tuwe na kitabu
 
Huyo mke anayefanya kazi yeye pesa yake anayopata atakuwa anaifanyia kazi gani kama anachangia kwa dharura tu na hiyari pale mme wake anapozidiwa??
 
Mkuu Natafuta Ajira hawa viumbe are so fucking weak, ni viumbe ambao tu kisema wanaume tukaze tusiwazingatie na tuwape uhuru wanaopigania ila kwa kigezo cha nao wawe accountable kwenye issue zao, nakwambia vitajifia bure tu..

Issue ni kuwa thru sexual desire and needing to have a partner which is their hiding place ndo wanawake huja na hizi strategy waki dhani wanaume wote duniani ni dhaifu na wataingo kwenye mifumo yao.

Ni kweli society imewapa kipaombele whawa viumbe.. Na hiyo ni kwasababu za kibaolojia zaidi.. Mwanamke ni delicate na anahusika pakubwa kwenye kuzaa... Akitoa mtoto anafuata mwanamke kwenye ulinzi.
. I see what you do waking up lots of men but as you put awareness, still immature men and lustful men will keep on breaking their own rules to make these bitches profitable.

Mimi kuwa na hii awareness inatosha mno naweza kutoa fundisho mara moja moja ila Ukisema unapigana vita na hii jamii tena ya wamatumbi unajisumbua tu kamanda..

Watakuona mbinafsi, maskini, na mwenye nongwa kumbe unawasanua.

That's it
 
Sema kitu nilichojifunza kwenye comments za wadau hata wanaume pia wengi wao hawana aura ya kumfanya mwanamke avutiwe nae zaidi ya hela au provision. Ndio maana ukigusa suala la kuwaepuka wanawake masikini au wanawake kushurutishwa wajihudumie mahitaji yao unakuta mpaka wanaume wanakuja juu kwa sababu wanaona unaziba upenyo wao mkuu wa kupata access kwa wanawake.

Ofcourse mbinu za kivita zinatofautiana kulingana na mwanamke unaedeal nae. Hauwezi kumfata slay queen, mwanamke wa bar au decent lady kwa mbinu zilezile. Lakini kama kila mwanamke unaekutana nae karata yako pekee ni kuhonga you're in trouble.

Shida yetu kubwa waafrika hatujui vipawa vyetu mapema. Kuna ambao mpaka wanakufa hawajui wamekuja duniani kufanya nini. Mtu anafanya tu kazi ambayo sio wito wake, hana passion nayo ndio maana inakua rahisi sana kuwa distracted na mambo kama sex.

Sex is a trap, but will african men wakeup from that dead-sleep while they see it as a prize or an endless festival?. As a man, find your passion you will see sex is not worth surrendering your power or making your life miserable for.
 
Shida yetu kubwa waafrika hatujui vipawa vyetu mapema. Kuna ambao mpaka wanakufa hawajui wamekuja duniani kufanya nini. Mtu anafanya tu kazi ambayo sio wito wake, hana passion nayo ndio maana inakua rahisi sana kuwa distracted na mambo kama sex.
Nailed it.
Umemaliza hapo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…