Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #21
Hakuna ubaya wa kupenyeza rupia kwenye nyufa kama msuli huo unao. Lakini at any point ukiona ushapata unachokitaka unaweza kuwithdraw huduma unazotoa. Mimi naongelea ule wajibu ambao inaonekana uwekwa kama shurti kwamba mwanaume ni lazima amuhudumie mwanamke.Hapa kazi ipo maana kuna waongaji wengi wala hawaombwi kuhonga, wakishaona mwanamke ana kalio kubwa na mweupe kabla hawajaombwa weshahonga.
Hapa tunapojadili huu uzi kuna wenye makalio yao weshakatiwa tickets za kwenda Dubai halafu wala hawakuomba, ni surprise tu kutoka kwa wahongaji wabobevu na changamoto iliyopo ni kwamba, hawajali.
😂😂😂aaaah wanaume bahili ni tatizoKa-weekend mubashara kabisa 😂😂
Tupate wadhamini kutoka kwa Vanessa
View: https://youtu.be/x2iUw2JcVFs?si=6T5MY2eMyiS0jodK
Cc: Joannah
Vipi na nyie mlikua mnaungwa tela. Kwamba kuna wa kulipa kodi, wa kulipia gharama za kupendaza, gate man wa club ili kupata free entry, bodaboda kwa ajiri ya mizungoko, lecturer wa kurekebisha masuala ya GPA wote mnawekwa kwenye foleni moja?Kama ulikwepo Mkuu
Vijana wanahisi Wazee hatujawahi kuhonga na kuhudumia wachuchu
Ukweli ni kwamba tulifanya sana hilo jambo, useme bahati yetu ni kwamba enzi zile hakukuwa na Iphone 15 🤭
Sijui dada yupi alimnyima huyu jamaa mbususu,matokeo yake wadada wote wanapata shidaVita vya mtoa mada na wadada humu kuja kuisha ni hadi masihi arudi 😅🙌
sio Mungu sema mume au mwanamumeNamshukuru Mungu ananihudumia vizuri 😛.
Ila mtanange ni wa moto jamani 😛
Sure ila mahusiano na mwanamke na umhudimii ni mahusiano ya kuhurumiwa hayo, very risk.Hakuna ubaya wa kupenyeza rupia kwenye nyufa kama msuli huo unao. Lakini at any point ukiona ushapata unachokitaka unaweza kuwithdraw huduma unazotoa. Mimi naongelea ule wajibu ambao inaonekana uwekwa kama shurti kwamba mwanaume ni lazima amuhudumie mwanamke.
Pia nimegusia vijana ambao bado wanajitafuta sio salama kwao kubeba jukumu la kumuhudumia girlfrend.
Wanawake pia wanaweza kupata somo kwamba kama wanataka jamii yenye wanaume bora basi wanatakiwa kuwa tayari kutoa ushirikiano sio kuwa wanyonyaji, au kama wanaona kutoa ushirikiano ni risk(kuofia uko mbeleni mwanaume akifanikiwa atamuacha na kwenda kwa mwingine) basi angalao wawaache hawa vijana wajijenge bila ya wao kutaka kupata kwenye hicho hicho kidogo walichonacho hao vijana
si umpe wewe atulie😀Sijui dada yupi alimnyima huyu jamaa mbususu,matokeo yake wadada wote wanapata shida
Mungu kwanzasio Mungu sema mume au mwanamume
Tatizo sio ubahili wa mwanaume, tatizo ni mwanamke kutaka hela ambayo hajashiriki kuitafuta. Infact mimi ni mmoja kati ya wanaume bahili na ninachokiona ubahili wangu umeniletea faida zaidi ya hasara. Kwa sababu ya ubahili nimeweza kujenga makazi yangu binafsi, naweza kusaidia ndugu zangu, nimeweza kuwa na vitega uchumi kadhaa n.k.😂😂😂aaaah wanaume bahili ni tatizo
mkuu nilichukua voda 5g lakini mbona inasoma 4g kifurushi cha 110kA good man should pay your bills and not care about your past.
And that man is your father, not me
Hii comment yako ipewe ulinzi...Hakuna kitu kinachompa furaha/raha mwanaume kama kuhudumia.
Hapa unamaanisha mkeo au mwanamke tu unayetaka kumuingilia uburudike?Mimi, mwanamke akitaka kunitibua akili yaani nimwone kama shetani au ng'ombe yupo mbele yangu, aniombe hela tu.
Ametoka kwenye uzi wako akaona kuandika comment haitamsaidia....Acha aanzishe uzi kabisa😅Kanichanganya nikajua uzi wangu mpuuzi kabisa huyu
Huu ndio ukweli mchungu ambao mleta uzi anapaswa kufahamu japo ana point muhimu kwenye uzi wake.Hapa kazi ipo maana kuna waongaji wengi wala hawaombwi kuhonga, wakishaona mwanamke ana kalio kubwa na mweupe kabla hawajaombwa weshahonga.
Hapa tunapojadili huu uzi kuna wenye makalio yao weshakatiwa tickets za kwenda Dubai halafu wala hawakuomba, ni surprise tu kutoka kwa wahongaji wabobevu na changamoto iliyopo ni kwamba, hawajali.
tafuta broVya kupewa vina masimango mnooo