Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃWatu wana raha, na mnawapa? With no strings attached? Ni wapi huko na mimi nije?
Mjini Daslamu, umekutana na mtu siku ya kwanza siku inayofuata simu yake imepasuka kioo tayari anataka kununua simu mpya ila hana pesa๐Ÿ˜
 
Umenikumbusha juzi nimesoma mahali mwanaume anadai ameoa mwanajeshi siku moja ikasikika purukushani nje mwanamke akatoka, akamkimbiza mwizi mpaka akamkamata. Sasa mwanaume anadai anaogopa hata kuchepuka maana anajua atachezea kichapo...anataka kutoa talaka ๐Ÿคฃ
 
Kwenye gender equity kama wote wawili mwanaume na mwanamke ambao ni wapenzi wanafanya kazi za kuwapa kipato au wana wazazi wao nani anatakiwa amuhudumie au ampe mwingine pesa?
 
Mjini Daslamu, umekutana na mtu siku ya kwanza siku inayofuata simu yake imepasuka kioo tayari anataka kununua simu mpya ila hana pesa๐Ÿ˜
Wakati mwingine huwa ni coincidence tu. Ila kama mna mahusiano ni haki uombwe bwashe hilo halikwepeki
 
Hahaha
 
Kwenye equity kama wote wawili mwanaume na mwanamke ambao ni wapenzi wanafanya kazi za kuwapa kipato au wana wazazi wao nani anatakiwa amuhudumie au ampe mwingine pesa?
Kwenye equity wanaangalia gender justice.

It means kama wote mna kipato mwanaume atachukua majukumu makuu ya kiuchumi na mwanamke atacover gap inapotokea huku akifanya majukumu yake ya kike kwa mwanaume.

It does not mean kuwa ni lazima mwanaume ateseke kama hana huku mwanamke yupo na cash ndani, ni haki kabisa mwanamke kuspend pale ambapo kuna uhitaji wa kufanya hivyo.

Kama mwanamke ana kipato na mwanaume hana atahudumia familia bila kumgeuza mwanaume kuwa mwanamke huku mwanaume akijaribu kurudi kwenye nafasi yake ya kubeba jukumu la huduma kwa familia yake.

Balance nzuri kabisa, No chaos just respect
 
Hii sio gender justice, ni utamaduni tu uliozoeleka Africa zaidi.
 
Hii sio gender justice, ni utamaduni tu uliozoeleka Africa zaidi.
Sawa, unaweza kuiita utamaduni but ni utamaduni ambao unakubalika na nature na hausababishi behaviors chaos. Kama tu wanyama walivyo na utamaduni.
 
Haya madhara ya jinsia na jinsi kwa upendeleo wa jinsi Fulani yana madhara sana.

Korea inapitia kwenye hii deep shit, Japan na kadharika.

Ila tambueni Wanawake wanatuhitaji sisi zaidi kuliko sisi tunavyowahitaji wao.

Inatakiwa Sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho, vifungu vyote vinavyomkandamiza Mwanaume viondolewe na vinavyomnufaisha mwanamke viwekwe 50/50.
 
Huu waraka uwafikie wadangaji wote. Yaani wanafikiri wanastahili kula jasho la mwanaume kwa kutoa utelezi tu.
 
Anatimiza wajibu wake kama mtu mzima. Angeishi mwenyewe angepata kila kitu free?
Kwa hiyo kama mwanamke ataishi kama alivyokuwa anaishi wakati yupo single mchango wako wewe mwanaume kwenye hiyo ndoa ni upi? Maana toka mkeo ameingia hapo haujifulii, haupiki, hausafishi nyumba, haununui tena malaya, na mengine mengi siwezi kuyaandika yote hapa....bado unataka ulishwe, ulipiwe kodi.
 
Huu waraka uwafikie wadangaji wote. Yaani wanafikiri wanastahili kula jasho la mwanaume kwa kutoa utelezi tu.
Basi kila mtu akae na chake, kama unaona utelezi si kitu
 
Coincidences zikiwa mara nyingi zinajirudia au nyingi za kufanana zinakuwa ni pattern.
Ila mtu ukitaka kulinda mfuko wako suluhisho si linaeleweka ๐Ÿ˜
 
Basi hapa inabidi na wazee wetu mchukue somo kwamba batch ya wanawake mliyo-deal nayo nyie ni tofauti na batch ya wanawake wa kisasa. Wanawake wetu wa kisasa wakisikia neno kuhudumiwa hawajui tofauti ya needs na wants
Tunaendelea kujifunza Mkuu, elimu haina mwisho

Zamani unaweza ukacheat hadi kumzalisha mwanamke, lakini huyo mke atafanya Siri mno kwenye kumlea huyo mtoto, Jamii inakuja kujua siku ya msiba wako ๐Ÿคช

Lakini miaka hii yenu, mwanamke ndiyo anakugeuza ATM yake

Utasikia mtoto anataka hili, ama kile na wakati mwingine kupigia simu usiku wa manane eti mtoto amekumisi anataka kusikia sauti yako ๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ