Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hii salamu inaponywa majeraha mengi sana
Majeraha gani kwa hiyo kuna watu Mungu akitajwa wanachukia?
“CCM mbele kwa mbele”
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii salamu inaponywa majeraha mengi sana
Kiitikio hakifai kabisa.Idumu Jamhuri ya Muungano....nimekopi ile ya kidumu chama cha Mapinduzi [emoji23][emoji23]
Team Magufuli mmesha anza maneno yenu ya hovyo hovyo, Tanzania ni nchi isiyo na dini ingawa watu wake wana dini kikatiba ipo hivyo, sasa usitake kulazimisha Rais aishi kwa kile unacho amini wewe huo ni ujingaanachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. JHili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.
Tanganyika na Zanzibar muungano wa haki udumu itikia hivyoJe tunaitikia vipi?
Namba 1 iko poa zaidiKiitikio hakifai kabisa.
SAALAM.
Nawasalimu kwa jina na jamhuri ya muungano wa Tanzania.
KIITIKIO NAPENDEKEZA
1, Tuilinde na kuijenga nchi yetu
2. Tuwaenzi waasisi wake
Yaani Madam President ameongeza quality of my life. Tuzidi kumuombea afya na ulinzi wa Mungu. Naona mwangaNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru.
Mama endelea kutumia hii salamu kila mara.
Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
Hii nzuri, siyo zile za imani ya diniNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru.
Mama endelea kutumia hii salamu kila mara.
Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru.
Mama endelea kutumia hii salamu kila mara.
Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ni salamu ya kitaifa kwelikweli😀😀
1.Asalam aleykumu
2.Tumsifu Yesu kristu
3.Bwana Yesu asifiwe
4.Bwana yesu atukuzwe
Tutakutana nazo ibadani😅😅
Hongera sana, tena sana.Watanzania ndo mlipiga kura CCM ikapata ushindi wa kishindo uchaguzi wa 2020.
Hongereni sana watanzania,endeleeni tu kutu zoom.
Siyapendi mimi hayo masalamu ya sijui asalam nini nini...Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ni salamu ya kitaifa kwelikweli😀😀
1.Asalam aleykumu
2.Tumsifu Yesu kristu
3.Bwana Yesu asifiwe
4.Bwana yesu atukuzwe
Tutakutana nazo ibadani😅😅😅
Mama Mbunifu mno!Wanabodi siku ya uapisho wa Katibu Mkuu Kiongozi ndugu katanga kuna jambo lilitokea, Bwana katanga alisalimu Raia kwa lugha moja tu ya dini ya kiislamu yaani Salaam Allahkum na akaendelea na hotuba yake,
Ikumbukwe pale kuna makundi mengi
Mama Samia aligundua kundi kubwa halijaridhika na ile Salamu Yeye akasalimia kwa Salamu mpya yaani"Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni maoni yangu tu bora kama mtu anaona kusalimia kwa lugha za dini ni kero basi atumie habari zenu wananchi
Acha UDINIWanabodi siku ya uapisho wa Katibu Mkuu Kiongozi ndugu katanga kuna jambo lilitokea, Bwana katanga alisalimu Raia kwa lugha moja tu ya dini ya kiislamu yaani Salaam Allahkum na akaendelea na hotuba yake,
Ikumbukwe pale kuna makundi mengi
Mama Samia aligundua kundi kubwa halijaridhika na ile Salamu Yeye akasalimia kwa Salamu mpya yaani"Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni maoni yangu tu bora kama mtu anaona kusalimia kwa lugha za dini ni kero basi atumie habari zenu wananchi
Mama TanzaniaJe tunaitikia vipi?
Unaanza kujiondoka kwenye kundi la watumwa mm tiyariSiyapendi mimi hayo masalamu ya sijui asalam nini nini...
Unafahamu maana ya udini au unaongea mambo usiyoyafahamu
Acheni ujinga bila kusalimiwa kwa salamu ya kidini inamaanisha huna Mungu???Rais wetu toka akiwa Makamu wa Rais alipenda, kusalimia salaam alykum! Alikuwa hataji salamu zingine, nadhani kuna uzi humu uli hoji! Sasa kaona aje kivingine. Ila mie nasema. Kusalimiwa kwa Jamhuri ya Muungano wala haiji. Sasa tunaitikia vipi! Heri enzi za mkapa yeye alitumia Mambo!
Mara huyu Rais wetu atoe salamu ya vidole vitatu na kitobo! Nilijiuliza hii alama ya nini tena? Rais awe makini. Asilazimishe baadhi ya salamu utadhani tuko kwenye washa au Makongamano. Huko ndo uwa kuna kila salamu na alama kadha wa kadha. Taifa letu linatambua Mungu yupo, hata Bunge uanza kwa maombi. Akijifanya ati hana time, nakwambieni, kuna jambo litatokea.
Amerika, kila kitu wanaanza na Mungu, nchi za Arabuni pia zinaanza na Mungu.
Zile salamu zilituweka pamoja, zilitufanya tujue Mungu yu nasi. Mhe. Rais tafakari sana kabla ujapokea ushauri.