Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Hata wakilindwa but karma lazima izae nao tu. Alishafutwa kwenye ulimwengu wa roho hana nuru tena amejaa hatia ya machozi na damu za watu zitatafuna hadi uzao wake
hii ni kauli nzito sana. angeisoma na kuitafakar ingemsumbua sana. yan damu ya mtu! utatafuta kila sabab ya kuihalalisha lakin wap! wengine hugeuka vichaa hadi kudhaniwa wamerogwa. hakuna hukum mbaya kama ya rohoni!
 
Na polisi nao hawana nia ya kumkamata Makonda?
Mchapa kazi!!!🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi gani hiyo anayeichapa?
 
Na polisi nao hawana nia ya kumkamata Makonda?
Mchapa kazi!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazi gani hiyo anayeichapa?
Enzi zake ulipata madawa ya kuvuta?
 
hii ni kauli nzito sana. angeisoma na kuitafakar ingemsumbua sana. yan damu ya mtu! utatafuta kila sabab ya kuihalalisha lakin wap! wengine hugeuka vichaa hadi kudhaniwa wamerogwa. hakuna hukum mbaya kama ya rohoni!
Cheza na vyoote lkn sio damu na machozi ya watu yanatafuna hadi kizazi we uchek baadhi ya familia viongozi azifananii ...chanzo ni mabaya wazazi wao waliowatendea watu
 
Nae alitajwa kwenye madawa
Hapo ndipo ujiulize kwa jinsi Mwendazake alivyokuwa anamtafuta Mbowe ili amfunge, kama angekuwa na ushahidi wa madawa ya kulevya si angempeleka Mahakamani asubuhi?
 
Hapo ndipo ujiulize kwa jinsi Mwendazake alivyokuwa anamtafuta Mbowe ili amfunge, kama angekuwa na ushahidi wa madawa ya kulevya si angempeleka Mahakamani asubuhi?
Makonda ni mwendazake?
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…