Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Hawa TAKUKUKURU si wakae kimya tu? kuja kujibujibu kila tuhuma za mitandaoni sio matumizi mazuri ya muda na kodi zetu. Makonda mwenyewe angetosha kuwaambia watu kwamba hajakamatwa
 
Nilisema hapa mnauziwa matango pori na Kigogo, Makonda ana network ndefu.
Network ndefu ipi? Labda awe na network ndefu ya kutembeza Rushwa kwani Rushwa ni adui wa haki na Bashite akitoa Rushwa atazuia haki kutendeka
 
Wewe ndiyo hudanganywa na kigogo lakini wengine husoma ya kigogo tu na kuendelea na njia zao zingine za kiuchunguzi kwa zipo tuhuma nyingi dhidi ya Bashite makonda ikiwemo utekaji wa msanii Roma, MO, kwenda Dodoma na wasiojulikana kumpiga risasi Tundu lisu na uonevu uovu mwingineo mwingi kwa wakosoaji wa mwendazake
 
Kukataa ya Lema ambayo wengi wanayajua lakini kwa kuwa siyo wanasiasa hawana pa kusemea ndiyo yakufanye wewe ujione una Akili? Kutetea uonevu uovu mateso manyanyaso ya makonda Bashite ndiyo kukosa Akili hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atapenda kuona Bashite anakuwa huru pasipo uchunguzi mkubwa makini wa haki, kumtangaza Bashite kuwa ni malaika msafi ni kuichafua taasisi hiyo ya umma
 
Hata kama ana makosa ni kufichiana makosa basi km ni hivo tuna kundi la wahuni wala sio viongozi wanao fuata sheria
Taasisi itakuja kudhalilika zaidi endapo itaendelea kumsafisha Daudi Bashite makonda kwa njia haramu za kishetani, wanasahau kuwa idadi kubwa ya watanzania wanajua ukweli juu ya tuhuma za Bashite kwa ujumla na uwazi
 
Bashite amefanya unyama unyanyasaji uonevu uovu mwingi sana yeyote anayejitokeza kumtetea Bashite lazima atakuwa hamuogopi mwenyezi mungu
 
Takukuru, huyu makonda ana mikono michafu inayonuka ile 'kitu ya uzima wa milele'.Dhambi
Ni mtu ambae ameumiza wengi kwa kisingizio cha madawa ya kulevya au Bereau de change.
Amenyanyasa wengi na kuwaonea watu wasio na hatia, asulubiwe asulubiwe!
Endapo Takukuru wataendelea kumtetea Daud Bashite watambue kuwa watakuwa wanatenda kubwa kwa watanzania kwani idadi kubwa ya watanzania wanaujua ukweli kuwa Bashite anazo tuhuma nyingi za kujibu alipaswa awe jela mda huu endapo haki ingekuwa inatendeka kwa usawa
 
Hawa TAKUKUKURU si wakae kimya tu? kuja kujibujibu kila tuhuma za mitandaoni sio matumizi mazuri ya muda na kodi zetu. Makonda mwenyewe angetosha kuwaambia watu kwamba hajakamatwa
Takukuru kumtetea Bashite makonda ni kujidhalilisha sana hawapaswi kufanya hilo kwa mtu kama Bashite ambaye tuhuma zake nyingi zipo wazi bila kificho
 
Takukuru wajiepushe na utetezi dhidi ya Bashite kwani wataisababishia taasisi yao kukosa imani tokea kwa wananchi na Duniani kote mpaka America ambao waligoma kumpa viza na kumfungia kuingia kwao, Takukuru wakitaka taarifa za Bashite waombe hata FBI waliopo ubalozi wa America wanazo nyingi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…