Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

kama wewe hukuwa na huzuniwacha tulie sisi tuliyekuwa tunampenda wewekamlilieshoga yenu anaye gawa huko ubergiji
Tafuta Kazi halali usiishi kwa upambe,njoo tukufundishe biashara ya madini uwe milionea nchi imejaa mali KILA sehemu utajirike usitegemee uhalifu kuishi.

Tafuta Kazi zingine usife njaa huyo arudi leo wala kesho miaka 6 kwanza ndani akisubiria ushahidi kukamilika,kituo kinachofata bashite musiba.
 
sasa hivi mnamuona shetani angalieni aliyoyafanya kwa muda mfupi halafu piteni kimya hamna haja ya kuropoka kama mmeingiziwa vidole huko nyuma
Yalimfaidisha yeye binafsi,asante Mungu ametuokoa kutumbukia shimoni.
 
Upo right sn
 
Hawa ni wauza ganda wazuri
 
Nia haipo kwa sasa!! au ndio tayari amesafishwa na yajayo pia iwapo yatajitokeza?
 
njaa tu izinakusumbueni na mtakesha mkiombea mabaya hayatatokea mwanaume mzima unakuwa kama lema aliyeolewa kutwa kucha kuombea mabaya wenzie au na wewe umeolewa maana mwanaume akiolewa lazima awe mmbeya
 
Mkijua huyo bashite na mama samia wakoje basi mtatulia.
 
njaa tu izinakusumbueni na mtakesha mkiombea mabaya hayatatokea mwanaume mzima unakuwa kama lema aliyeolewa kutwa kucha kuombea mabaya wenzie au na wewe umeolewa maana mwanaume akiolewa lazima awe mmbeya
Sio njaa Ni laws of nature ajiandae tu kuvuna
 
hapa nakupinga. huyu hatotumia method za jiwe sijui kuteka na kuua watu. she wants her record to be clean.
Maybe she is not aggressive kwenye mambo fulani. but she is not jiwe
Uko sahihi, lakini Sasa anapoficha maovu kama ya akina Makonda, ya BoT , huwezi kujua from here where will she head to!
 
Uko sahihi, lakini Sasa anapoficha maovu kama ya akina Makonda, ya BoT , huwezi kujua from here where will she head to!
wewe unaushahidi kuwa hao wanamakosa? hawaoni makosa yao ndiyo maana hawahusishwi
 
Jinai haina ukomo Mama ni mpita njia siku zaja.Siti ya daladala ainaga mwenyewe
hahahaaa kwahiyo napiga picha siku tobo ndyo kawa mkulu miaka mitano kesi kila siku kukomoa atauwa mpaka sisimizi
 
@Etwege ,wewe ni nani? Mbona ni mtetezi mkubwa wa haya majambazi wawili (Sabaya na Makonda)!? Una maslahi nao!?
Makonda hamna haja ya kuhangaika naye. Yupo njia moja kumfuata mkubwa wake wa ujambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…