Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda..
CHADEMA mmesikia? Utawala wa sheria katika ubora wake
 
hapa nakupinga. huyu hatotumia method za jiwe sijui kuteka na kuua watu. she wants her record to be clean.
Maybe she is not aggressive kwenye mambo fulani. but she is not jiwe
Uko sasaSasa anapoficha maovu kama ya akina Makonda, ya BoT , huwezi kujua from here where will she head to!
wewe unaushahidi kuwa hao wanamakosa? hawaoni makosa yao ndiyo maana hawahusishwi
The obvious alivamia Clouds na bunduki. Inaelekea wewe utakuwa mnufaika wa Jiwe...mwendazake wafuasi wake utawajua tu
 
Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda..
Dangamya toto mchana kweupe.

Yetu macho. Huyo makonda mwenyewe nasikia kaabaanza kutimkia bondeni saudhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sasaSasa anapoficha maovu kama ya akina Makonda, ya BoT , huwezi kujua from here where will she head to!

The obvious alivamia Clouds na bunduki. Inaelekea wewe utakuwa mnufaika wa Jiwe...mwendazake wafuasi wake utawajua tu
kwakweli mimi ni mnufaika wa jpm sana tu watanzania katuoa sehemu dhaifu na katuweka sehemu imara zaidi na kazi bado inaendelea
 
Kitakachomuokoa Makonda kufungwa jela ni kukimbia nchi au kifo kama alivyokufa Mwendazake.

Kama Rais SSH atakaa kimya kwa sababu yeyote, ajuwe tu baada ya kipindi chake kuisha hata iwe miaka 10 ijayo, Makonda lazima afikishwe Mahakamani kujibu tuhuma zake.
 
kujibu tuhuma ganibado mnamakesi ya kubambika tu wakati mama hayataki?acheni uchizi wenu
 
This boss of PCCB is so smart. He is fooling this imbecile so that he (imbecile) can be investigated and cornered appropriately.
The current set up of our government is so weak to provoke THE WESTERN ALLIANCE. Mama would wish to the right up, but it seems she must hold for now, or forever. As we are discussing there is a disquiet in Western Tanganyika.
 
Kidogo kidogo tutaelewana....! Kazi Iendelee
 
Kisa tu mbowe alitajwa kwenye madawa ya kulevya?
 
Sina uovu naishi kwa kufuata sheria na kanuni za kuishi na watu duniani.Pole kama uzijui
Nimecheka haki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usisahau kwamba kwenye hili la uovu Wewe sio wa kwako ila ni wa watu wanaokuona na kukusikia
 
kujibu tuhuma ganibado mnamakesi ya kubambika tu wakati mama hayataki?acheni uchizi wenu
Kwani aliyemteka Roma Mkatoliki na MoDewji ni nani? Au humjui aliyekuwa kiongozi wa kundi la WASIOJULIKANA ambao walimtishia bastola Nape Nnauye?

Aliyesimamia kikosi kilichomshambulia Tundu Lissu? Ni Paul Makonda kwa jina lake halisi Daudi Bashite.
 
huo ndiyo umbeya wa kike we unaushahidi gani kama makonda ndiye alikuwa kiongozi? hiyo ni vita ya wauza dawa za kulevya ndiyoinamchukia maana aliziba biashara hiyo haramu na wewe unaingia kichwa kichwa kama malaya wa kilabuni tena siyo wa bar ana nafuu wa kilabuni
 
Aliyewabatiza nyumbu hao jamaa aliona mbali sana, kitu kufikiri kwao hakipo kabisa
 
Hiyo Lexus ilikuwa mali ya Ally Hemed mmiliki wa kampuni ya Nas Haulies!alimnyang'anya na baada ya Ally kugoma kumpa kadi akampa kesi ya madawa na kumuweka kituoni. Baada ya mwanae aitwaye Bahman kupeleka kadi ndio akaachiwa!Namba halisi ya hiyo Lexus ni T500 DAR na Benz T666
 
Mengine umeongezea wapi kasema hawana nia.Huyu anakosekana vipi kwenye tuhuma yeyeto.
Mwizi aliyeiibia serikali kupata ajira kwa vyeti feki
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…