Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Wewe ni mke wa Ally Hemed?
 
Makonda, kama kweli unawataja wauza unga hapa mjini kina Diamond na kina Salim Sk mbona bado wako mitaani tu wanadunda?
 
Makonda, kama kweli unawataja wauza unga hapa mjini kina Diamond na kina Salim Sk mbona bado wako mitaani tu wanadunda?
Makonda aliwataja mapapa wa unga ndiyo maana unga ukaisha kabisa mtaani.
 
Hawa wanaomtetea huyo muuaji ni wanufaika wa utawala wa dikteta aliyefariki kwani hata Hitler alikuwa na wapambe wake waliokuwa tayari kufa naye.
 
Mengine umeongezea wapi kasema hawana nia.Huyu anakosekana vipi kwenye tuhuma yeyeto.
Mwizi aliyeiibia serikali kupata ajira kwa vyeti feki
Kaibia vyeti lakin kazi yake n zaid ya wenye vyeti hao wenye vyeti vyao wamefanya nni
 
Kaibia vyeti lakin kazi yake n zaid ya wenye vyeti hao wenye vyeti vyao wamefanya nni
Wale waliondolewa kwa shida ya vyeti hawakuwa watendaji.Kipi cha maana kafanya zaidi ya kucheza na camera kukuadaeni nyie wanyonge
 
Wale waliondolewa kwa shida ya vyeti hawakuwa watendaji.Kipi cha maana kafanya zaidi ya kucheza na camera kukuadaeni nyie wanyonge
Nafsi yako itakusuta sana mpaka kufa kwako
 
Takukuru, huyu makonda ana mikono michafu inayonuka ile 'kitu ya uzima wa milele'.
Ni mtu ambae ameumiza wengi kwa kisingizio cha madawa ya kulevya au Bereau de change.
Amenyanyasa wengi na kuwaonea watu wasio na hatia, asulubiwe asulubiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…