Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Takukuru, huyu makonda ana mikono michafu inayonuka ile 'kitu ya uzima wa milele'.
Ni mtu ambae ameumiza wengi kwa kisingizio cha madawa ya kulevya au Bereau de change.
Amenyanyasa wengi na kuwaonea watu wasio na hatia, asulubiwe asulubiwe!
Lakini madawa ya kulevya yaliisha Tanzania
 
dont be stupid, ulienda wew ukaziona hozo pesa nyingi, haya tuambie hizo pesa nyingi sh ngapi maana inaonyesha ulihesabu
 
Timu saccos mwambieni nabii wenu Lema atabiri tena kuhusu Makonda mmeshindwa kumpeleka kwa court
 
Bavicha wameumbuka!
 
Sasa hapa hoja ni nini? Ni Takukuru hawajamshikilia Makonda au Makonda ni msafi? Ni hivi Takukuru wakipelekewa tuhuma dhidi ya Makonda, zenye ushahidi unaojitosheleza wanafanya kazi wanayopaswa kufanya. labda takukuru watuambie kwa sasa hakun tuhuma zilizowasilishwa kwao kuhusu Makonda
 
Uvumi unakanushwa, sifa anapewa Makonda za mzalendo safi. Lakini ukweli kwa jamii inayomjua huyo mtu ni kinyume na sifa hizo. Ana ukwasi asio weza utetea, na wanajua chimbuko la ukwasi huo na ndio sababu ya kumnyoshea kidole.
 
Makonda hajawahi kuendesha vita dhidi ya wauzaji wa madawa ya kulevya. Ila alitumia madawa ya kulevya kujipatia fedha, magari na vitu vingine vyenye thamani ya Mabilioni ya Shillingi.

Watu pekee aliowafikisha Mahakamani ni Yusuf Manji na Wema Sepetu ambao walishtakiwa kwa kutumia heroine na bangi na siyo kuuza.

Nitajie wewe ni nani mfanya biashara wa madawa aliyeshitakiwa na Makonda halafu nitakujibu.
 
Muacheni tu kijana aishi vizuri na asiguswe huyu, hao kina sbaya ni haki yao!! lililo muharibu kijana wetu ni Gujiwe tu!
 
Makonda alimsifia Mama kwamba anafaa kuwa makamu wa rais na ujumbe ule ukamfikia hayati JPM na akaufanyia kazi.

Haipo namna Makonda anaweza kufanywa chochote awamu hii. Siku Mama akiondoka ikulu ndio dogo anaweza kushtakiwa. Hayati, Mama na Makonda ni kitu kimoja.
 
Mama D una la kusema Baby??? mbona vimaelezo kidoogo tena vya kinyonge sema kama zamani

TAKUKURU wameshasema mimi ni nani niongeze neno
Anayeona kuna vitu haviko sawa apeleke malalamiko yenye ushahidi TAKUKURU
 
Uliona wakati anagawa ama umehemukwa!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…