Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Sipati picha siku lile sambwanda litakavyogombewa huko lupango
 
Unajuaje nani atakuwa rais ajaye na kwamba hatakuwa sehemu ya JPM na hata akiwa si sehemu ya JPM atakuwa na appetite ya kufukua makaburi?
Makonda Ana mizizi migumu Awamu ya tano ba sita.

Akiingia mtu asiyejiona ana deni na awamu Hizo mbili ndio ataweza kufukua makaburi.
 
Acha kumlisha maneno Salumu Hamduni , wapi ametamka Makonda mchapa kazi , wapi ametamka alipigana Vita ya madawa ya kulevya , Pimbi kweli wewe , Makonda alipigana vita ya madawa ya kulevya au alipora mali za wafanyabiashara akiwasingizia wanafanya biashara ya madawa , kapora magari ya watu ,hela n.k.
 
Alikupora shs ngapi?
 
Ashitakiwe kwa kumtaja mbowe kwenye madawa?
 
Ulitaka mbowe ashitakiwe?
 
I can assure you ni swala la muda bashite lazima akamatwe, watawala watake wasitake. Serikali hii inayofanya kazi kwa mashinikizo haiwezi kuhimili shinikizo la kutaka bashite akamatwe na kushtakiwa.
 
Sipati picha siku lile sambwanda litakavyogombewa huko lupango
Maneno yako yasiyokuwa na tija hayakusadii na huenda hata Makonda hajakufanyia ubaya wowote kazi ni kushangilia tu mabaya yawapate watu ili kufarahisha nafsi yako.Usimshambulie mtu kwa kuwa anamapungufu ya kimwili hapa leta hoja zenye nguvu kama mtanzania.
 
Uvumi unakanushwa, sifa anapewa Makonda za mzalendo safi. Lakini ukweli kwa jamii inayomjua huyo mtu ni kinyume na sifa hizo. Ana ukwasi asio weza utetea, na wanajua chimbuko la ukwasi huo na ndio sababu ya kumnyoshea kidole.
Mkuu fanya kazi achana na maneno ya kuambiwa, UKWASI UKWASI ndo nini? ulitaka aishi maisha ya kimaskini? ungemsema tena kuwa hana akili binadamu hamna jema.
 
Tangu lini nyumbu wakawa na hoja
 
Naomba muongozo katika sentensi hiyo niliyoifanyia bold na kuiongezea font size, tafadhali. Dar mateja na wauza madawa ya kulevya waliisha lini jamani?
 
Hata hivyo mama samia hawezi kukubali
 
Makonda analiwa Timing hapo ajiachie tuu watu wanakusanya ushahidi!
 
Kwani na wewe unalo sambwanda kama la huyo nyamitako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…