Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Jamani hii wikii nalogout jf [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Id yako inaniumiza sana niliwahikuwa kwenye mahusiano na mzambia mmoja mwenye jina kama Id yako kila niionapo nakumbuka mbali walah
 

Pole sana.
Sasa kilicho kukimbiza ni ufupi, kuombwa laki na nusu au ushauri kuhusu kubebeshwa kwake mikoba ya uganga
 
Picha tafadhali
 
Mkuu ishu yako kama yangu, ukiangalia avatar basi unajua kuwa utakutana mtoto mkali au basi anafanania kwa mbali, afike sasa , duh ni wafupi hao afu wengi mikomao na matipwatipwa
Yalah jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
nilijua tu katafunwa
 
Hiyo ni lugha ya picha imetumika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nimecheka sana Aweke tu namba wenye roho zetu tumrudshe mwanza wasijemuibia sweta lake bure [emoji16][emoji16]

Hahahaahah
 
Yule mdada hajakujibu mpaka leo
Eti unafikiria nani anazo picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha alinijibu kumbe namba yangu alikuwa bado ajadelete. Amebaki kuwa best yangu kwambaliiiiii. Mungu saidia picha Zangu awe alizifuta maana member wahumu kama vinyonga hawakawii kubadilika nakukulipua[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 

Mhh kumbe na wewe umo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…