Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Mkuu screenshots ziachie tu tujue hapa hapa ila kisa chako sikukutana nacho ndo nataka nikisome kwa uzuri mstari kwa mstari nijue yaliyojiri.
 
Unajua Kila Mtu Huwa Kuna Degree Of Madness

Jitahidi Kila Siku Iwe Chini Maana Utalikuta Unafanya Mambo Ya Ajabu Kwa Jamii Inayokuzunguka
 
Asante sana dear Sakayo
 
Mimi nilikuwa naamini kuwa ulikuwa unatania tu kamanda na sikudhani kama kuna mtu aliyekuwa anakuchukulia siriazi. Yote kwa yote umefanya vyema kuwaomba msamaha unaohisi kuwa umewakwaza. Blessings bro [emoji109][emoji109][emoji109]
 
Kitendo cha kumkimbia ni kama umemwambia akubali mikoba. picha limeanza... Jamani nakusanya rambirambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…