Sambusa za nyama na juice ya matunda

Navyopenda sambusa za nyama 🥰 na pepsi baridiii

Ila kwenye nyama ungeweka tangawizi na kitunguu swaumu
 
Alikufundisha nani kupika
Mama angu alikuwa ananifanyia kusudi nikirudo likizo morng anasepa anakwambia mboga zipo kila kitu kipo mchana unihesabie chakula uyo kasepa
 
Navyopenda sambusa za nyama 🥰 na pepsi baridiii

Ila kwenye nyama ungeweka tangawizi na kitunguu swaumu
Tangawizi sawa ila kitunguu swahumu sikipendi kinakinaisha kwa mtazamo wangu labda nikiuunguze sana
 
Nimependa location..napata vibe kama lodge fulani maeneo ya serengeti huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…