Amekuwa Jk V2 ....muongo huyu kama jamaa yake wa karibu sana ambae ana remote yake.....atupisheeMgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Nilifikiri kiwanda chetu kilicho kuwa kikitengeneza magari pale Nyumbu,kingefufuliwa na kuzaliza pamoja na tractors.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Matrekta milioni 10?
Muongo huyo!
Toka 2021
Matrekta milioni 10?
Muongo huyo!
Toka 2021 kanunua
Matractor milion kumi, inshangaza sana,Matrekta milioni 10?
Muongo huyo!
Toka 2021 kanunua mangapi?
Huu ni utapeli updated version ya ule wa 50m@kijiji.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Ukichukulia kwa bei ya trekta moja milion 40, basi hapo jumla kwa matrekta hayo watahitaji trillion 400Matrekta milioni 10?
Muongo huyo!
Toka 2021 kanunua mangapi?
Haiwezekani kwa bei ya trekta mil 40, hapo atahitaji awe na trillion 400According to 2022, Tanzania kuna households million 14. Kwahiyo, karibia kila kaya kijijini itakua na trekta.
hata hii sio rahisi labda mabaskeliLabda power tiller
View attachment 3460463