Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
🍻🍺🍺😝🤪VIDEO
🍻🍺🍺😝🤪VIDEO
Kasema million 10Kamba 🤣🤣
Ni trekta elfu 10 sio mil.10
dunia nzima production ya matrekta haizidi milioni 4 kwa mwaka, sasa hayo 10 million atayapata wapi?VIDEO
Thamani ya tractor million 10 kama utanunua kwa bei ya million 30 ni sawa na trillion 300. Hizi pesa anazipata wapi?Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Usikute mtoa ahadi hajui hata kuna kaya ngapi. Anaropoka tuAccording to 2022 NBS National Census, Tanzania kuna households million 14. Kwahiyo, karibia kila kaya kijijini itakua na trekta.
Matrekta milioni 10?
Muongo huyo!
Toka 2021 kanunua mangapi?
Thamani ya tractor million 10 kama utanunua kwa bei ya million 30 ni sawa na trillion 300. Hizi pesa anazipata wapi?
Huyu kweli Samuya🤣Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Kasema ni trekta 10,000,000 au 10,000..?Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
JamiiCheck na Moderator hivi vitu ni uchafu hatuwezi danganywa mchana kweupe. Ifike mahali muwe wazalendo uongo kama huu muufute kama nyuzi za akina britanicca mnavyozifuta.