Dada yangu,muogope Mungu!Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Kuna kutunga uongo halafu kuupendezesha ni kitu kingine,tunataka maferali na malambolini kama ya mwanao AbdulMgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Hahaha, kama ni kweli kasema hivyo ni either huyu mama anatania au hajui hesabu 😂😂Ukichukulia kwa bei ya trekta moja milion 40, basi hapo jumla kwa matrekta hayo watahitaji trillion 400
Waziri wa kilimo amekuwa akizungumzia matrektaelfu kumi. Nafikiri hicho ndo walipanga kusema akapitiwaMgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Almost usd 160 billion , wanataka kuongeza mkopo?Ukichukulia kwa bei ya trekta moja milion 40, basi hapo jumla kwa matrekta hayo watahitaji trillion 400
Tobaaa...!!!!Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
HAPO NDIO CHADEMA WANABAKI WANACHANGANYIKIWA MAZIMA
Kuahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendoKuna kutunga uongo halafu kuupendezesha ni kitu kingine,tunataka maferali na malambolini kama ya mwanao Abdul
😄Matrekta milioni 10?
Muongo huyo!
Toka 2021 kanunua mangapi?
Tutalima hadi Kariakoo kama ni hivyo.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza leo, Agosti 31, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wilayani Chemba, mkoa wa Dodoma, Dkt. Samia amesema mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi, wenye lengo la kumrahisishia mkulima upatikanaji wa huduma bora za kilimo na kuongeza tija katika uzalishaji.
Kwa mujibu wake, serikali itahakikisha wakulima wanalimiwa kwa gharama nafuu zaidi kuliko sekta binafsi. “Kwa ekari moja, baadhi ya watu binafsi wanatoza hadi shilingi 80,000, na baada ya serikali kuanzisha vituo vya zana gharama zimeanza kushuka hadi shilingi 40,000. Lakini kwa bei yoyote sekta binafsi itakayowatoza wakulima, serikali itatoza nusu ya bei hiyo,” amesisitiza.View attachment 3460410
Tapeli wa siasa huyuVIDEO