GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Dada yangu,muogope Mungu!
Kwani kwa sasa haupo madarakani! Jiuzuru ili mameno ya ahadi yako yalete maana kwa wapiga kura
 
Kwanini anunue baada ya uchaguzi
Swali fikirishi asipo nunua mta mfanya nini?

Swali la pili je kipa umbele chenu ni matrekta?
Mimi kipaumbele changu ni haki

Silence surrenders public responsibilities
Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa
 
Kuna kutunga uongo halafu kuupendezesha ni kitu kingine,tunataka maferali na malambolini kama ya mwanao Abdul
 
Waziri wa kilimo amekuwa akizungumzia matrektaelfu kumi. Nafikiri hicho ndo walipanga kusema akapitiwa
 
Tobaaa...!!!!
 
Mkuu leta video akiongea yeye mwenyewe, sitaki kulishana maneno,
Fanya hivyo haraka mkuu
 
Kuna kutunga uongo halafu kuupendezesha ni kitu kingine,tunataka maferali na malambolini kama ya mwanao Abdul
Kuahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwa tabia mbaya ya kujipendekeza ama uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of unbecoming behaviors such a flattering or hypocrisy towards self-absorbed group
 
Tutalima hadi Kariakoo kama ni hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…