GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Matrekta 10M, au sio๐Ÿ˜€

Your browser is not able to display this video.
 
Thamani ya tractor million 10 kama utanunua kwa bei ya million 30 ni sawa na trillion 300. Hizi pesa anazipata wapi?
 
Anazo kweli ameziweka kwa yule mwanamama wa bravo walimpa fukwe, kuna kampuni inahusiana na kilimo ya mama Abdul ila ipo chini ya bravo group
 
Huyu kweli Samuya๐Ÿคฃ
 
Kasema ni trekta 10,000,000 au 10,000..?

Someone posted a thread in here saying 10,000 tractors each village..

So, which is which..??
 
John Deere ni muongoni mwa makampuni yanayozalisha na waundaji wa tractors, annually (kwa mwaka) wanaweza unda tractor 40,000 pekee in 5yrs ni tractor 2,000,000 sasa kufikia tractor 10,000,000 za mgombea wa CCM itachukua 25yrs in case amepanga kuwa raisi wa kudumu au aingie ubia na viwanda vitano (5) vya uundaji wa tractors wamuuzie yeye.
 
Ujinga ujinga mwingi sana hii nchi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ