Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Je amechukua tahadhari zozote wasije kumdhuru?
 
Kuna Jambo linakuja... Utetezi ni haya maonyesho kuwa wao washayamaliza.
 
Marekebisho ya tume hayafanyiki kwa ushauri,ni maswala ya kisheria', Sheria ni kazi ya bunge
 
Amka,utachafua godoro kwa samadi
 
Mzee Warioba, Tunamwomba Mungu azidi kumjalia afya njema na maisha marefu. Hiyu amezeeka mwili, lakini akili na utu wake vimebakia perfect. Ukimsikiliza Warioba halafu umsikilize Mwigulu, unaweza kujiuliza maswali mengi, mojawapo ni kama kadiri siku zinavyozidi kwenda, kama watu wanazidi kuwa na akili ndogo, wanafiki, na waongo!!
 
Hawa wauaji wamuache babu wa watu apumzike. Kama ni ushauri mzee Warioba alishashauri sana, kama ni mchango kwa taifa hili mzee huyu hadaiwi. Warejee kazi zake na misimamo yake, alishaelekeza na kushauri mno.
 
Watu mnaoenda kukutana na mpumbavu muuwaji mkome lazima tumtenge sisi sio wauwaji wenzake akatafute wauwaji wenzake wakutane.

Unakutanaje na mjinga wa nchi. ? ndio uuwaji ni ujinga. mtu kama huyu unaongea nae nini sasa sioni vitu vya kuongea nae ?
 
Sema manyonyo amekutana na mheshimiwa waziri mkuu mstaafu
haya hizo lugha ndo siku mkifinywa makende mnakuja kulia huku mitandaoni, huyo ni mama, bibi, rais wa nchi, amiri jeshi mkuu, lazima tumheshimu ili kulinda heshima ya nchi pia, mkosoeni kwa hoja sio matusi na vurugu wandugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…