Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,856
Vijana wa TEC mmeshikwa na ghadhabu sana..awe makini asikubali kuwa dodoki la kuwasafisha watawala wachafu.
Na kanisa katolikiccm ni kama mtambo amakini unajiendesha wenyewe hii kitu inawaumiza kichwa sana chadema
Hii ni phase ya rebranding after deadly demos of MO29.
Marehemu.Ruge angekuwepo angepiga pesa balaa kwenye.issues za rebranding Tz
Photo ops events na watu wote prominent zitatamalaki nadhani Lissu tu ameshindwa kufika dau anahitajika.sana.muda huu.kuliko yeyote.kwenye hii scheme.
Anachofanya sasa mama ki-mama ni kujaribu kuonyesha dunia kuwa hakuna cha ajabu kilichotokea. Hizi picha ni kutaka aonekane kuwa anakubalika. Pia huenda atakuwa amemwomba Warioba kuzungumza na Lissu na CHADEMA ili kubadilisha msimamo wao.
Pigo zake tangu enzi na enziMzee leo ana shati jipya π
Polepole hajarudi nchini, yuko Cuba au nchi za UlayaHivi alipo ulizia alipo polepole samia alijibuje?
πππ Vijana wa masato wassira bana mnamambo!!Polepole hajarudi nchini, yuko Cuba au nchi za Ulaya
afu akutilie na tu xuuum kidgoHayo ndo mambo anayo yapenda samia, mkutane mnywe chai mpige picha
Kwani amekufa?Ni kweli si mlimtuma Mwaipopo alikuwa akimtukana,mbona clip zipo nyingi? Kabidhini mwili wa Polepole kwa mamayake.
Kama unadhani ni uwongo, thibitisha kwa kuonyesha ukurasa wa kitabu cha passport ya Polepole uliogongwa muhuri wa kuingia nchini kupitia Airport/ Mpaka gani na tarehe ipi?πππ Vijana wa masato wassira bana mnamambo!!
Labda anatafuta dawa ili aiuze!Kama hayuko tayari kushauriwa kama alivyosema siku anahutubia" who are you" , Ina faida gani kukutanana.
Kama huumwi unatafuta dawa ya nini.
Akutane na Godfrey Malisa, Polepole, Lissu, Kitima, Heche, vijana kuangalia mustakabali wa Taifa au familia zao.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
mimi nafkilia tu nguo ya mama yeny mpasuo hadi juu akiwa ofsin TakatifuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
tumeshaga kuzoea hunaga akili. Hatuhangaiki na wewe usie jielewa.Vijana wa TEC mmeshikwa na ghadhabu sana
Nchi hii haiwezi kuendeshwa na wavaa magauni wewe.
Mtu ana miaka 60 plus huko anaishi kwa nyeto anawezaje kutupangia kuendesha nchi....
Baada ya kupata info ya namna alivyo ingia sasa mpo vifua mbele kukanusha kuwa hakuingia nchini watu wabaya ninyiKama unadhani ni uwongo, thibitisha kwa kuonyesha ukurasa wa kitabu cha passport ya Polepole uliogongwa muhuri wa kuingia nchini kupitia Airport/ Mpaka gani na tarehe ipi?
Hapa ndio nakumbuka maneno ya HAYA LAND HOV kwamba wanasiasa wanajuana wenyewe na mwisho wa siku wanamalizana wenyeweErtugrul Bey lile genge akina sativa maria na mange wanatapika nyongo muda huu π