Kwani kesi za ulawiti zilikuwa tayari, zinajulikana kama sasa. Hii ni matokeo ya Muhusika kudharau vitu muhimu, hivyo kudhihirisha hata kwa Mama mbogaMkuu hakuna lolote. Hizi ni propaganda na huenda zinaenezwa na TISS. Yaani kwa kutumia akili ndogo tu utaona kuwa kama ni mabadiliko yangeshatokea tangu mwanzoni.
Hapa zipo mpaka za DNA yako kwani unayedhani ni Baba yako siyo, muungano ufe Mkoloni Kaburu toka Zanzibar akae kwake Tanganyika ijitawale yenyeweHabari za ndani ya kapeti zipo JF !?
Utabiri wa shekhe Yahya unaenda kutimiaYote kheri kikubwa wasifute ajira nikafa njaa .
Huu Utabiri unaenda kutimia, mkoloni kaburu toka Zanzibar hana chake tena
Wamalizane tuNchimbi atamuua Samia. Nchimi alimuua mtoto wa Malecela ,Ipyana kisa Uongozi UVCCM
ibirisi wa ccm wapo chini ya uchunguzi wa CIA pia mahakama ya uhalifu The Hague na Taasisi za haki za binadamu vinawamulika sana, wapo Taabani na kadri chawaccm wanavyomchuuza Mama iddy Amin Dada ndivyo wanazidi kumchufulia njiaCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu,pigo moja tu,pigo lililonyooka,pigo takatifu.
Huu ni uotoshaji wa maksudi, au wa ujinga wa kutojuwa unacho kizungumzia. Maswala ya CCM yana uhusiano gani na kuvunjwa au kutovunjwa kwa bunge!dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
Huu Utabiri ni sahihi kabsa kwani Uonevu manyanyaso kwa chadema kufunga makanisa, kubainika kuwa magufuli aliuwa na mzimu wake kuamka kuungana na laana za waliotekwa kuuawa kubambikiwa kesi za uongo, kuporwa luzuku na msajiliccm kwa vifungu haramu vya kishetani
Hawa vijana hawajawa chawa hata siku moja msiwahusishe na siasa pambaneni ni hali yenu maana mlikataa kushauriwa na majaji was zamani👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
Ameeeen!Mungu tu ajitwalie sadaka zake....
Kwenye hiyo QUP nitafunieJuly Kuna mambo
Ni ngumu kumbadilisha namna Hiyo labda itumike ile QUP wanayopanga hapo kisota
Britanicca,
Utakufa mda si mrefu kwa kupingana na Utabiri baada ya wewe kumuua magufuli na sasa unawateka watu unawaua kuwabambikia kesi za uongo, ya Senegal na Zambia yanaenda kutokea Tanzania wote mliowaonea watakuwa juu kwa nguvu za munguUtabiri wa Yahya Hussein hausemi kwamba baada ya raisi mchekeshaji atakayekuja baada yake atatawala kipindi kimoja. Ila kwa ujumla utabiri ni utapeli tu.