Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Hizi sio tetesi tena ni ndoto za alinachq
 
Inawezekana kukatokea mabadiliko, lkn si kwa kumruhusu Chombo agombee! Labda mchakato wa ccm uanze upya!
 
Yap!kumbe tayari
 
Bado upo kijiweni tu mjomba?
 
🚮🚮 Mtaota Hadi 2030.

Kwanza mtu kama Nchimbi si Bora Mpango Sasa 😂😂
 
Mimi sijawahi kuwapenda CCM, ni mtu ninayeamini hii Nchi haikua tayari kuongozwa na aina ya Rais tuliyenaye.

CCM Ina historia ya kuwaweka Viongozi wakubwa pembeni ila tu kama wanakua ni Wapinzani wakiwa ndani ya CCM.

CCM wanajua namna ya kubebana, ndiyo nikasema kama ilishindikana mwanzo, itawezekana vipi Sasa hivi....!?

Sasa emu nambie Mkuu, nani atamwondoa!?
 
Safi
 
Binafsi namkubali Nchimbi, Huwa haropoki ovyo au kusema maneno atakayo ya Kama yeye mwenyewe.
Japo sio mshabiki wa chama chake Cha siasa.
 
NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA HIYO YA KUKOMESHA WEZI NA UJINGA UJINGA WA KISHENZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…