Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

CCM hawawezi kuwa wazigawa baiskeli na vipodozi vyenye bendera ya CCM huku wakiwa na mgogoro wa chini kwa chini.

isipokuwa kama kuna makundi mawili makubwa yanoshindana kwa sasa.

Dalili za kuwepo kwa makundi makubwa mawili ni Luhaga Mpina na Askofu Gwajima ambao hadi leo hawajaathirika na pilikapilika za Abduli na shemeji mtu.

Kundi moja laonekana kuzidi kushika nguvu kubwa.
 
Never underestimate Imma the boy. Hizi habari kuna mwanaccm mmoja nilimsikia akiongea lakini nadhani utatumika ushawishi na diplomasia kumuomba Simba mkuubwa apumzike.

Ni project ya mfumo hiyo, imma the.boy amekuwa ni mtu wa mfumo muda mrefu sana toka kwa kakake mamvi.
 
CCM ni mwenyekiti hayo mengine pirojo tu za wanywa gongo
 
Hata huyo Nchimbi hatumtaki CCM ni ile ile sisi kama wananchi wazalendo tunaona CCM haifai tena kuongoza nchi hii. Uwezo wao mdogo kwasababu kila anayeingia haongozi kwa weledi na atakayejaribu basi atawekewa zengwe mwishoni na yeye ataingia kwenye siasa zile zile za maji taka uuaji ,ufiraji ,rushwa nk rejea kwa JPM mzalendo wa kweli ambaye sytem ikamfanya kua katili wa kutupwa.
 
Ngoja tuhubilia Moto uwake wenyewe upepo si unavuma na moshi unaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…