Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
haha angalau hata angeweka neno Mungu akipenda lkn waislamu hawana hilo neno hata hivyo, hajui mpaka 2030 is a loong time chochote kinaweza kutokea kati ya leo na 2030 …
Atakuwrpo?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
View attachment 3263812
NdioAtakuwrpo?
Yeye anazungumza yanayomhusu ila ya Mungu hana uwezo nayo.She is so sure of herself.
Binadamu hupanga ila Mungu nae ana mipango yake.
Ikimpendeza Mungu anaweza hata asimalize hii March.
Achilia mbali ikawa matakwa ya Mungu, CCM isifanikiwe na wizi wao wa kura akaishia kwenda kizimkazi kutumikia zamu ya uke wenza huku akipika vileja vya wajukuu.
Anajua hakuna uchaguzi bali kiinimacho, ataiba kura abaki madarakani ila 2030 atakuwa makamu wa rais wa Magufuli huko alikoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
View attachment 3263812
My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
Ana mkataba na Mungu??Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
View attachment 3263812
My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
Wewe bado una akili ndogo huwezi kunielewa... Bado mchanga sana..Kuwa loosers na kupoteza pambano ndio akili kubwa?
Mwisho wewe uliwahi msikia mgombea au Timu inaingia uwanjani inasema inaenda kufungwa au kupoteza pambano?
Akili zako kubwa za ki looser Zina Msaada gani?Wewe bado una akili ndogo huwezi kunielewa... Bado mchanga sana..
Huna unalojua siyo lazima wewe unielewe Mkuu.. Hapo hiyo siyo akili yako ila ni njaaa imekupanda kichwani.. Naku sikitikia sanaa... Pole sana.. Mkuu kwanza umekula?Akili zako kubwa za ki looser Zina Msaada gani?
Wewe unajua kipi Cha maana Hadi ulazimishe ueleweke?Huna unalojua siyo lazima wewe unielewe Mkuu.. Hapo hiyo siyo akili yako ila ni njaaa imekupanda kichwani.. Naku sikitikia sanaa... Pole sana.. Mkuu kwanza umekula?
Kale kwanza ushibee.. Usikute nabishana na mbumbumbu mmojaa asiyeijua kesho yake.... Bado unapigania tumbo wewe akili yako finyuu pole... Sanaa... Maskini wa fikra wewe..Wewe unajua kipi Cha maana Hadi ulazimishe ueleweke?