PostGE2025 Samia to Western Countries: Who are You? They think they are still our masters?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ok. Angalau sasa kwa wale ambao walikuwa hawajui nafasi yake ni ipi sasa amesema wazi kuwa nafasi yake ni ipi, na sababu ni amiri jeshi basi nafasi ya Jeshi nayo imejulikana ni ipi.
 
Wanasheria katiba inasemaje ikitokea Rais amechanganyikiwa
 
Bi chura katoa boko kila kona
ameenda mbali mpaka wafadhili wanaomchangia bajeti yake ya nchi
kawachamba?!

Tunaenda kupigika vibaya mno kiuchumi dunia imeshatutenga!
 
Kwa wajomba zake kunamtia kiburi
 
heheheheeee

huyu mama, huyu, yaan nacheka kama mazuri, kawashikia kabisa kiuno eti "WHO ARE YOU"
 
Trump yupo anamwangalia Samia huku anavuta zake Sigara ngoja amalizane na wA Venezuela kwanza, amnyooshe Samia hicho kiuno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…