BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Sadamu Hussein, na gadafio walikua wababe haswa guess what happen huyo unaye mtetea hafiki hata robo ya nguvu waliokia nayo hao jamaaaTanzania ni nchi huru, sovereign state, Amiri jeshi kaongea kaonesha mwelekeo, sasa ni wakati wa sisi wenye kulitakia mema taifa letu kutembea kifua mbele.
Jana Kitima kajitutumua kupambana na Amiri jeshi wa Tanzania. KItima wewe ni Katibu tu wa TEC baada ya miaka mitatu hutakuwepo kwenye nafasi hiyo. Jaribio lako la kuandaa na kuratibu mapinduzi ya nchi hii yalikwamba, sasa ni wakati wa kukinywea kikombe. Umesema upo na watu kila kona, na serikali ipo na watu kila kona.
Brother huwezi ukashindana na serikali ukashinda. Serikali ipo na vyombo vya ulinzi na usalama wewe unatembea tu na biblia na msalaba mkubwa shingoni. Waliokushauri walikudanganya. Na jana uliingizwe kwenye mkenge ili uyaongee yako ya moyoni watu wayajuea.
Watu wote waliokuwa karibu na wewe sasa watakugeuka.
Kwa hotuba hii ya leo, kila kitu kimeisha. Ukitoka uanze tena kupambana na Serikali, kaka utakuwa unashida kichwani. Kaka yangu pambana na kazi yako ya kuwapeleka mbinguni wakatoliki. Wewe kazi yako ni ya katoliki siyo waumini wa dini na madhehebu mengine.
Huu ni ushauri tu nakupatia kaka, unatakiwa uchutame uende hata kwa kificho ukamuombe msamaha Amiri Jeshi mkuu.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Mimi binafsi namjua Padri Kitima, tumekaa naye mara nyingi sana kwenye vikao vya hapa na pale; pale makao makuu a TEC. Kuna mgahawa na viti hapo, tumekaa mara nyingi sana na Padri Kitima tukijadili na kupanga mambo mengi. Nakushauri ndugu yangu chutama utazeeka vizuri. Tunajua asilimia kubwa ya ndugu zako wote walishakufa, amebaki mmoja unayempenda sana.
Kaka Kitima badilika rudi uwe katika ubora wako. Baadae utaanzisha kikundi cha uasi. Sijui hata kama unajua kutumia silaha, sijui hata kama unaweza kupiga push up hata mbili.
Jitafakari Kaka
Adui yake wa Kwanza ni Kenya maana kagoma warudisha watu walioenda KenyaGuys ,It might be interpreted as hostile and could risk damaging relations with key development partners.
Huyu Bibi anatupeleka zimbabwe ,wataprint tena hela tuwe na noti ya laki 1.
Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua sauti sisi kusema ya kwao? Wanadhani wao bado ni masters wetu? Ni kitu gani, ni fedha chache wanazotugawia? Na fedha yenyewe sasa hivi haipo. Tunafanya biashara wao wapate na sisi tupate, ndipo tunaposimamia.
Ameyasema hayo leo Desemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa JNICC.
Niwatoe hofu kwamba.Huyu ni Rais mjinga sana kuwahi kutokea Tanzania.
In reference, walitokea watu hatari na katili zaidi ya hawaTanzania ni nchi huru, sovereign state, Amiri jeshi kaongea kaonesha mwelekeo, sasa ni wakati wa sisi wenye kulitakia mema taifa letu kutembea kifua mbele.
Jana Kitima kajitutumua kupambana na Amiri jeshi wa Tanzania. KItima wewe ni Katibu tu wa TEC baada ya miaka mitatu hutakuwepo kwenye nafasi hiyo. Jaribio lako la kuandaa na kuratibu mapinduzi ya nchi hii yalikwamba, sasa ni wakati wa kukinywea kikombe. Umesema upo na watu kila kona, na serikali ipo na watu kila kona.
Brother huwezi ukashindana na serikali ukashinda. Serikali ipo na vyombo vya ulinzi na usalama wewe unatembea tu na biblia na msalaba mkubwa shingoni. Waliokushauri walikudanganya. Na jana uliingizwe kwenye mkenge ili uyaongee yako ya moyoni watu wayajuea.
Watu wote waliokuwa karibu na wewe sasa watakugeuka.
Kwa hotuba hii ya leo, kila kitu kimeisha. Ukitoka uanze tena kupambana na Serikali, kaka utakuwa unashida kichwani. Kaka yangu pambana na kazi yako ya kuwapeleka mbinguni wakatoliki. Wewe kazi yako ni ya katoliki siyo waumini wa dini na madhehebu mengine.
Huu ni ushauri tu nakupatia kaka, unatakiwa uchutame uende hata kwa kificho ukamuombe msamaha Amiri Jeshi mkuu.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Mimi binafsi namjua Padri Kitima, tumekaa naye mara nyingi sana kwenye vikao vya hapa na pale; pale makao makuu a TEC. Kuna mgahawa na viti hapo, tumekaa mara nyingi sana na Padri Kitima tukijadili na kupanga mambo mengi. Nakushauri ndugu yangu chutama utazeeka vizuri. Tunajua asilimia kubwa ya ndugu zako wote walishakufa, amebaki mmoja unayempenda sana.
Kaka Kitima badilika rudi uwe katika ubora wako. Baadae utaanzisha kikundi cha uasi. Sijui hata kama unajua kutumia silaha, sijui hata kama unaweza kupiga push up hata mbili.
Jitafakari Kaka
Tanzania is no longer at easeTanzania is no longer
Acha usenge, pumbavu zako. Msituletee mabalaa hapaCIA wanawaweza hao Venuzuela wakija Tanzania tunawakalisha
Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua sauti sisi kusema ya kwao? Wanadhani wao bado ni masters wetu? Ni kitu gani, ni fedha chache wanazotugawia? Na fedha yenyewe sasa hivi haipo. Tunafanya biashara wao wapate na sisi tupate, ndipo tunaposimamia.
Ameyasema hayo leo Desemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa JNICC.
Problem is you Mama not Tanzania. ICC next for you not TanzaniaRais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua sauti sisi kusema ya kwao? Wanadhani wao bado ni masters wetu? Ni kitu gani, ni fedha chache wanazotugawia? Na fedha yenyewe sasa hivi haipo. Tunafanya biashara wao wapate na sisi tupate, ndipo tunaposimamia.
Ameyasema hayo leo Desemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa JNICC.
Mwambieni samuya, EU sio CWTRais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua sauti sisi kusema ya kwao? Wanadhani wao bado ni masters wetu? Ni kitu gani, ni fedha chache wanazotugawia? Na fedha yenyewe sasa hivi haipo. Tunafanya biashara wao wapate na sisi tupate, ndipo tunaposimamia.
Ameyasema hayo leo Desemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa JNICC.
Wazungu wanachambwaaa leo mpaka watajuta kuzaliwa dadeki! Huyu mama wa Kizenji aisee kwa kuchamba kiboko πππ
Kila Kukicha Afadhali ya JanaHuyu ni Rais mjinga sana kuwahi kutokea Tanzania.
Samia, they are still your masters! Muulize Maduro kinachomsubiriNaona kuna wale wale wa madrasa tupu