Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Hapo upo kishabiki samsung inahakiwa kirahis ila kamwe hatuwezi kuhack iPhone
Walichoweza apple ni kutoa online updates that's why kuna ugumu pia simu zao kuwa kuingiliwa kirahisi.
 
Na hapo unacomment ukiwa unatumia Nokia C2
 
Natumia samsung ila sioni kama kuna cha ajabu napata mtu wa tecno hapati.
 
Ila android users hawana creativity kabisa.
Mimi ni MTU WA kuhama Hama Leo utaniona na Samsung,Google pixel, mwezi ujao iPhone napenda kuchanganya iPhone Wana mapungufu yao na android wanayakwao uzuri WA iPhone bwana ni secure Sana na ina uhondo wake ndani jinsi ukiitumia Kwanzia security,mpangilio WA apps,muonekano,network,napenda emojis zao pia, na ukiingia appstore hamna app ilio na ushubwada Yani Wana mchujo sio kama android apps za Kila Aina unazipata playstore takatala zote utazikuta appstore wanaweka apps zenye akili na za uhakika kiufupi iPhone wanajua kimuonekano WA ndani na security na mpangilio WA apps emojis,japo simu zao zinakulimit ku-accsess Baadhi ya vitu.
 
In terms of security hivi iphone alikuwa anammatch blackberry?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…