Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Mimi sitaki kujadili vingine kwenye hizo simu mbili. Nataka tujadili vioo tu.

Aiseee vioo vya Iphone viko kama Vya Tekno na Infiniksi. Nipo hapa kuwapopoa iphone users. Mje hata 100 hamtashinda huu mjadala.

iSheep nawasubiri.
Baba hizi display za samsung hazina mpinzani, zunguka ulimwenguni kote hakuna kama samsung.
 
Kabla ya s21, panda juu kidogo ktk note 10+ hatari hii mashine.
 
Samsung walikuja na wazo zuri kwenye midrange ila kadri siku zinavyosogea kama kajisahau,maana midrange za hivi karibu bei yake inakimbizana na flagship za baadhi ya matoleo mengine
 
hiyo inasababishwa na kuibia features za highend na kumegea kidogo huko chini.

si unaona hata akina infinix na tecno wakiamua kuwa serious hata kwenye kioo tu,bei inaota mabawa.bado camera,engene ya simu,na body material.

simu ya samsung ambayo iliuzwa bei ya kizalendo ni A10,A03,A10s.
 
kwani kwenye iphone unapata kipi cha ajabu ambacho wa tecno hapati???

tena anakuzidi yeye mpaka x anadownload.
Situmii iphone.

1. Ila the whole experience iliopo kwenye apple ecosystem ni unbeatable.

2. Quality and durable products.

3. Slow depreciating products.

4. Uniqueness in OS.

Samsung should have their own OS sio kutumia android sawa na kina tecno.
 
kumbe kosa ni kutumia android sio kuwa samsung??

sasa mbona hapo juu umeorodhesha vingi nje ya IOS!!!!maana ni sawa na kusema IPHONES nje ya kuwa na IOS ni tecno isiyo na matangazo.

ili uwe realistic sio wale wa iphone noma,usiweke ushabiki.
 
Huwezi fananisha iOS na android mkuu!
 
Hivi vionjo vya android ya samsung ni sawa na tecno kumbe? Ila sibishi maana tecno mi nimeziona kwa picha tu sijawahi hata isogelea...

Mkuu ulihama iphone?
 
kumbe kosa ni kutumia android sio kuwa samsung??

sasa mbona hapo juu umeorodhesha vingi nje ya IOS!!!!maana ni sawa na kusema IPHONES nje ya kuwa na IOS ni tecno isiyo na matangazo.

ili uwe realistic sio wale wa iphone noma,usiweke ushabiki.
Samsung features zao sidhani kama zinaweza ingiliana na tecno labda kwakua sijawahi shika nisibishane sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…